Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya ndo mambo sasa tunataka kuskia
Mtamuelewa tuu SSH ♨️♨️..

Na haya je 👇

Screenshot_20220423-153447.png
 
takwimu za kitambo ata za sahizi bado zaonesha kenya ingali mbele kabisa katika hii sekta

Screenshot_20220423-184906_Chrome.jpg
 
Duu hawa jamaa mbona wanachafua mabasi yao hivi na marangi rangi! Yaan kulitazama hilo gari tuu kichwa kinauma, ukilipanda sasa na miziki ile ukishuka si unakua mahututi kabisa
That's our Urban Culture, yenye watu wa Arusha hutamani sana kucopy.
 
Duu hawa jamaa mbona wanachafua mabasi yao hivi na marangi rangi! Yaan kulitazama hilo gari tuu kichwa kinauma, ukilipanda sasa na miziki ile ukishuka si unakua mahututi kabisa
Hautambui art...alafu mziki ikishakuwa kelele kwako ujue ni uzee, usijali ukifika Nairobi kuna matatu zilizotulia pia, ila ziko slower,wazee kama wewe na geza mtapenda
 
Back
Top Bottom