Acha utoto wewe,hajaenda USA kwa ajili ya Biden bali kwa ajili ya Royal tour na kukutana na wafanyabiashara na Wakuu wa WB/IMF
Kwani ukiwa Rais ndio huwi Raia wa kawaida? Tzn ni nini kwa US?
Acha Rais afanye mambo ya msingi ya kutafuta wawekezaji, mfanyabiashara gani wa Taifa kubwa atahangaika kukutana na Waziri kwenye Nchi za Afrika?
Dangote kwa miaka yote akija Dar huwa anakutana na Kikwete, Magufuli na Samia ,hakuna cha Waziri wala Balozi..
Hata Rais alipoenda Dubai na Egypt alikutana personally na wafanyabiashara wakubwa na matunda tuliyaona..
Nchi za kiafrika ni maskini na hazina sera za kutabirika so ni lazima wapate uhakika kutoka kwa Rais sio Waziri,,Bilionea hawezi msikiliza Waziri ..
Chapa kazi Rais wanaobeza wataona matokeo baadae kama tuu ambavyo kwa mwaka mmja amewashangaza Sukuma gang and the likes wenye akili ndogo za kujitutumua wakati ni useless..
View attachment 2197656
View attachment 2197657
View attachment 2197658
View attachment 2197659
View attachment 2197660
View attachment 2197669
View attachment 2197670