Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Matatu Culture imefika hadi Caribbean countries. Thousands of miles away.




eti kuna mwenye anadai tume copy paste pakistan. yani nimecheka yangu yote 🤣🤣🤣


View attachment 2198116
View attachment 2198112View attachment 2198113View attachment 2198115
Sasa mnafikiri hiki kitu mmevumbua ninyi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kitu wakenya ni mnaongoza duniani nafikiri ni ushamba uliotukuka, yaani ninyi watu ni washamba sijapata kuona

Haya mambo yapo huko Asia Karne na Karne na wala hamwakuti hata robo

Thailand hii

images - 2022-04-24T045650.567.jpeg


images - 2022-04-24T045711.872.jpeg


images - 2022-04-24T045724.551.jpeg


images - 2022-04-24T045753.091.jpeg


images - 2022-04-24T045809.901.jpeg
 
Sasa mnafikiri hiki kitu mmevumbua ninyi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kitu wakenya ni mnaongoza duniani nafikiri ni ushamba uliotukuka, yaani ninyi watu ni washamba sijapata kuona

Haya mambo yapo huko Asia Karne na Karne na wala hamwakuti hata robo

Thailand hii

View attachment 2198298

View attachment 2198299

View attachment 2198300

View attachment 2198301

View attachment 2198302
Wao ndio wanatucopy. Wao wameanza juzi. Sisi uchoraji kwenye mabasi tulianza zamani sana. Zaidi ya miaka ishirini iliopita.
 
Washamba ni nyie hahahaaa kuna mwamba mmoja nilipiga nae kazi ni Mkenya anaitwa Ongoma asee alikua mshamba kikudaa. Yaani nyie bora hata wa Ug
Wakunya by nature ni cavemen 😂😂😂😂 Yaani ni washamba bushmen wa gods must be crazy wanasubiri, angalia kuanzia ongea yao mpaka vaa yao 😂😂😂 primitives to the core 🤣🤣🤣
 
aa.. wee mzee nenda kalale.. mmda wako umeshazama. hivi hii graffiti, ata serkali ya kenya inaisupport sana. this is kenyas creativity and we even export them as far as durban, SA

yani kwako huu ni uchafu.!? ama ubunifu wa ainayakeView attachment 2198034View attachment 2198024View attachment 2198025View attachment 2198026View attachment 2198027View attachment 2198028View attachment 2198030View attachment 2198033
Hata mimi nawapa kongole kwa hizo arts ,ni matangazo mazuri ya utalii wa ndani na tamaduni..

Tanzania tuige hii ni nzuri badala ya kuweka upuuzi wa Yanga na Simba,maneno ya kejeli,Ccm na chadema na kuchora akina Neymar mara Putin and such nonsense.
 




Kumbe wapo singida tayari 👆🏿


Hawa wanashirikiana na vodacom👆🏿

Watu wengi hawajui,US ni investor namba 3 hapa Tanzania toka Kitambo nyuma ya China na Kenya.
 
Huwa wananchekesha wanaposema wameanzisha wao kuweka matakataka kwenye mabasi yao mabovu
Ni lack of exposure, haina tofauti na wanavyoona Nairobi ni matawi kumbe ni ushuzi wa bata, lack of exposure

Kuna kikundi cha Wakunya walianza trip yao kutoka kunyaland kwa mbwembwe kichizi baada ya kufika Dar na kuingia viwanja na kushuhudia namna Watanzania wanavyokula bata walizima fegi na kuanza kusifia Watanzania wanajipenda na wanaishi high life, 😂😂😂 Yaani toka hapo video zao zote mbwembwe kwishney 🤣 wapo wa nashangaa tu na kujisikitikia maisha yao back kunyaland
 
Wakunya by nature ni cavemen Yaani ni washamba bushmen wa gods must be crazy wanasubiri, angalia kuanzia ongea yao mpaka vaa yao primitives to the core
Hahaa yule jamaa Mkenya ikabidi tumtaftie ka manzi ka Kinondoni ndo kakaanza kumkataza kukaa kishamba na kuvaa manguo na ma viatu ya kishamba. Hawa jamaa sjui ni vp wanazidiwa hata na Warundi kwa Swag
 
Back
Top Bottom