Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa umri wako huu ungekuwa familia ambayo kdg inajiweza now upo kazini unaosha osha vidonda, tena ukizingatia elimu yenu ya sekondari mwisho form four yn ungekuwa mbali sn, but insonesha umeunga unga sn shule thus y bado upo shule.View attachment 2193044
Huyu jamaa the best 007 unapenda kupangia watu maisha kwani weweni Mungu?? Mbona maisha ya mtu inakuwa priority yako? Nani kakupangia unavyovaa ama unavokaa? Take a chill pill dawgg
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
ndio mkuu hizi za wenyewe , Nimedownload Facebook
emoji1787.png
napenda Kudownload pesa online.
emoji41.png



View attachment 2193082

MView attachment 2193083


View attachment 2193085


View attachment 2193086
So wewe ni teller stanbic bank ama?
 
Hiyo utoto wa kupiga picha Kwa choo achana nayo. Alafu usiongelee njaa juu Kwa kuangalia tu hizi picha zako ni njaa tupu
oi we chokoraa inabidi nikutumie tiketi uje kupiga bia kisha urudi kwenu kwenye mabanda ya mabati,

maana hueleweki jinsi ulivyo na unachoandika ni unanukia dhiki

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Uzi wa leo umekuwa interesting sana. Tumecheka kweli. Mchango umekuwa na ucheshi sana.
Mwambie Teargas watampa pressure na ile tai yake na foengo (four angle) zake . Hivyo viatu siku hizi wanavaa watu wanaohuburi neno la Mungu . Mwambie awe updated. Hila bongo kwa masihara unaweza kasilika kila muda . Ni utani wa ukweli
 
Atakua ameshaona Tai na Viatu vya kijana vinakuaje , sio yeye kaenda kutandua Tai kama jani la tumbaku sijui Nairobi Museum kafunga shingoni kitu cha Agrarian Revolution
na huyo jamaa ukimuweka makumbusho kisha ukamchongea na mkia wa bandia na meno marefu kidogo ukamuweka makumbusho pale nairobi kisha watalii wakija ukawaambia kuwa huyo ni zao la mwisho la dragon hawakatai bila shaka watapiga self naye

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Yaani nguo na viatu ambavyo vilishapitwa na fashion bongo, kule kwao ndo vinaenda na wakati.

Ameshindwa kabisa kununua jeans zake kadhaa nyeusi au kaki na viatu vya ''kigentlemen'' (tatizo uchumi)

Kuna siku walikuwa wanapost humu maduka ya nguo zile brand za denim...kumbe hata hawazivai!
yaani rangi ya tai na kiatu ni unga na kinyesi hapangilii chochote,

bonge la tai kama marehemu kenyatta

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna KUGUZA mshahara mwaka huu , ni mwendo wa Rupurupu tuu
kwani ilikua ni uongo.. ona.. sijawai guza mshahara hata.!! tingia hio day nikisema hivo. kisa kuwachana na mitungi, blanti na mikasi. na kujituma zaidi kazini. hivi nimeweza kukidhi mahitaji yangu pasipo na mushkil

kama kwa mwezi moja unaweza ua hadi ksh114,500/- .. ie.[Tsh2.4M] pasipo kukaribia a/c yako ya salary, hadi kupigiwa simu na bank manager baada ya miezi kadhaa, kuhakikisha kama bado uko hai ama umekufa..😆 ni achievement mkuu..


mfano moja tu!.. huu mwezi moja1 between 11Feb to 17Mar niliua ksh114,500/- (na ujue salary ya uhandisi Min.ofPublicWorks bado iko very intact !!) 👇🏽👇🏽nugu hii



Screenshot_20220420-025146_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025254_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025601_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025701_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025747_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025844_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-025922_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-030008_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-030108_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-030232_Gallery.jpg
Screenshot_20220420-030335_Gallery.jpg


TOTAL Ksh114,500/- ama (Tsh2,400,000/-) in 4weeks

yani, ile kucheka kwako saaana"'🤣'" imekosa maana..
NGO!!😜😜

am patiently waiting for the cruel critics from the ruthless danganyikans..
 
Seminar mingi tumeenda mzee.. hio Per diem nayo.!.. sisi ndo wale wasee.. yani tuna approve, na kuhakikisha Building Safety, yani public buildings/umma hapana anguka.!
zile huwa mnazi post hapa ni '1project in a million.!'
nb: in any give society, hauwezi kosa scrupulous and corrupt dealers. though yetu ni public gov't buildings pekee, kamavile mashule, mahospitali, bus park, public markets, public toilets, gov't office bldngs..etc etc..
so jiwe la moto, Lwiva, The best 007, Lusematic Shebby01.. zidini sana kuniombea ili nizidi kuijenga east africa..!

Screenshot_20220420-034629_Gallery.jpg


atleast some output of my ukunyaland hands..

render👇🏽
1NO. CLASSROOMS JPG1.jpg
1NO. CLASSROOMS JPG2.jpg
reality👇🏽
Screenshot_20220420-043254_Files by Google.jpg
Screenshot_20220420-043304_Files by Google.jpg


to my greatest suprise.!😳 this one was posted here at jf by nairobae last week..👇🏽
Screenshot_20220420-043824_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom