Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787] umedhihifadhi picha za mshua wako

kweli unayatamani maisha na hautoweza kufikia, life yako ni choka mzee ojwani,unavaa vaa matai makubwa hata mzee Moi anakupita kwa kupendeza

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Naona umekunja kuokolea huyo jamaa wako wa mifupa🤣😂🤣
 
Nipo mkuu nilikua sehemu ambayo simu ilikua restricted sababu ya usalama Ila nimerudi brother naona mnazidi kutuwakilisha vizuri [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
karibu sana mzee wa kazu,hapa tunamuenjoy teargas a.k.a bwana mapesa na jopo lake,

washikaji wengi wa kikenya humu ni watu poor wenye dhiki yakutosha,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Kazi inaendelea 👇

Screenshot_20220419-201714.png

20220414_122051.jpg

20220414_122042.jpg

20220414_122046.jpg

20220414_122054.jpg
 
karibu sana mzee wa kazu,hapa tunamuenjoy teargas a.k.a bwana mapesa na jopo lake,

washikaji wengi wa kikenya humu ni watu poor wenye dhiki yakutosha,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ahsante Sana brother sema thread ni ndefu Ila naona wabongo tuko vizuri tunawakilisha nchi yetu with one heart japo kuna baadhi wanageuza iwe full politics na hii ina Kera!
 
Naona umekunja kuokolea huyo jamaa wako wa mifupa[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Hii tabia yako ya kupenda kushindana na watu waliokuzidi kila kitu ndio inakufanya unakuwa fukara mpk leo, umri unaenda bado unasoma, tushaku note hata ukificha sura masikio, ndevu zilizokosa ushirikiano na midomo iliyokosa lishe tushaijua, ukikimbilia bongo ili utafute remittance tunakukimbiza ukafie kibera huko huko[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums500937414.jpg
 
Hii tabia yako ya kupenda kushindana na watu waliokuzidi kila kitu ndio inakufanya unakuwa fukara mpk leo, umri unaenda bado unasoma, tushaku note hata ukificha sura masikio, ndevu zilizokosa ushirikiano na midomo iliyokosa lishe tushaijua, ukikimbilia bongo ili utafute remittance tunakukimbiza ukafie kibera huko huko[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193395
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Welcome back our dear watchman 😂😂🤣🤣. We were wondering penye imepotelea kumbe you are around😂😂🤣😂
 
Kingine hiki hapa kikimaliza shule kitakuja bongo kutafuta kazi ya kuosha vidonda ila tumeshakajua na tumasikio twake kama punda [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2193398

Sasa nimegundua kwanini akiona Mtanzania mwenye rangi nyeupe anasema sio Mtanzania. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo utoto wa kupiga picha Kwa choo achana nayo. Alafu usiongelee njaa juu Kwa kuangalia tu hizi picha zako ni njaa tupu[emoji23][emoji23][emoji1787]
Lusematic mnyamwezi wewe usijilinganishe naye hata kidogo, tofauti ni kama usiku na mchana. Ona wewe na tai lako kama mlokole alafu muangalie mwana, huoni aibu?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums500937414.jpg
JamiiForums850346510.jpg
 
Back
Top Bottom