Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Yule watchman The best 007 naona sasa anachungulia tu. Bro just be free with your job, nobody is going to be beat you because you are a watchman 🤣🤣😂
Wewe huoni kaandika bwana mapesa ....unajua bwana mapesa aliyo andika ina maana gani ? Ukijua maana yake utajua ni yeye au la ...mtafute mkenya Teargas atakuambia kwanini kaandika hivyo, ni sawasawa na mimi nipost pesa kisha niandike "mkunya cheki mapesa"angalau ungepata tu kuandika jina lako 'NDINDA'.! tungepata kukuamini mzee, ila kwa saahizi hapana... hizi pesa lazima ni za wenyewe mkuu..
View attachment 2193050
Sometimes we huaga unajitia hamnazo 🤣🤣🤣🤣🙄🙄🤣🙄🙄🙄angalau ungepata tu kuandika jina lako 'NDINDA'.! tungepata kukuamini mzee, ila kwa saahizi hapana... hizi pesa lazima ni za wenyewe mkuu.. 😆
View attachment 2193050
Mke wako atakua na taabu Sana 🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo picha ya chini ni ya Tanzania?🤣🤣😂😂 I want you to compare it with Tanzanian pictures🤣😂😂
eh!!! 3yrs ago this was not there.....in the same 3yrs wabongo wamekuwa hapa arguing over useless shit.When Baba Levo said that Dar need 25 yrs to reach where Nairobi is currently, he meant this😂👇👇
View attachment 2193275
View attachment 2193276
View attachment 2193277
View attachment 2193278
View attachment 2193279
View attachment 2193280
View attachment 2193281





Asehhhh ilo jengo naona limeandikwa NAIROBI TOILET ,Kimafumbo wakenya na mafii mafii


damudamu

Sasa hiyo ushachange gear?😂😂 Anyway maisha ya Nairobi inakupelekaje?Mke wako atakua na taabu Sana 🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Kwanza walikuwa wanasema haitajengwa. One of the ring leaders was The best 007 watchman mwenyewe 😂😂eh!!! 3yrs ago this was not there.....in the same 3yrs wabongo wamekuwa hapa arguing over useless shit.
Nikija Nairobi utakua Tu usijali🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa hiyo ushachange gear?😂😂 Anyway maisha ya Nairobi inakupelekaje?
I thought ulikwama huku, umejua Nairobi ni kama Ulaya Kwa mtanzania 🤣🤣😂😂Nikija Nairobi utakua Tu usijali🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ndiyo maana nakuambia upo level ndogo ,ndiyo maana unaongea pumbaTry to grow up. Na zile dreads zako uliosha?![]()
Kama kujipiga selfie kwa choo ndio level kubwa basi heri ikae tu. Huo ni ujinga suezifanya🤣😂🤣ndiyo maana nakuambia upo level ndogo ,ndiyo maana unaongea pumba
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Amevaa tai ya wazee!
Mwenyewe anaona katupia kinoma!


yaani anafunikwa kutupia hata na Laila odinga
noma sanaMimi ni coder kwenye very reputable payment gateway, na kwa tabia yangu ya kujifurahisha humu siwezirisk kuleta bad image kwa kampuni. So nikunogeshe tu
View attachment 2193139
Good evening witches from the south 😂😂