Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheheeee mm nipo kazini, hapa nilipo baadaye kdg naenda job so kama unataka kuona kazi yangu niambie baadaye nikuoneshe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni hawker hiyo nilijua kitambo sana🤣😂
 
Wewe ni hawker hiyo nilijua kitambo sana[emoji1787][emoji23]
Heheheheeee, mm niko hapa baadaye kdg nitakuonesha mazingira yangu ya kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220401-104513.jpg
 
Umeenda kuuza njugu airport?[emoji23][emoji23][emoji1787]
Nafurahi kuona umeanza kuniogopa, wewe tulia ss nikuoneshe kuwa mm co size yako, mwenzio hapa nilipo tayari nna future wewe umri ulionao bado upo chuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nafurahi kuona umeanza kuniogopa, wewe tulia ss nikuoneshe kuwa mm co size yako, mwenzio hapa nilipo tayari nna future wewe umri ulionao bado upo chuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sieziogopa muuza njugu😂🤣
 
Yani mpaka sasa bado unasoma na ukishamaliza uingie mtaani kusaka ajira na vile ajira zilivyo ngumu Kunyaland subiri kutumbua mishipa tu c kitu kingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Student huyo huoni hata alivyo fukara? Asubiri miaka 30 ijayo ndiyo apate internship zen baada ya miaka 5 ya internship huenda akapata ajira, na vile ajira hamna huko Kunyaland mbona kazi anayo. Miaka 35 bado anasoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi tunajua kujiajiri, that's why we become bosses,
IMG_20220324_161245_788.jpg
IMG_20220401_081315_232.jpg
 
angalau ungepata tu kuandika jina lako 'NDINDA'.! tungepata kukuamini mzee, ila kwa saahizi hapana... hizi pesa lazima ni za wenyewe mkuu.. [emoji38]

View attachment 2193050

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio mkuu hizi za wenyewe , Nimedownload Facebook[emoji1787] napenda Kudownload pesa online. [emoji41]


IMG_5322.jpg


M
IMG_4573.jpg



IMG_3396.jpg



IMG_6358.jpg
 
Africa tulichelewa sana, yani mtu mzima bado anasoma na co anasoma kama in-service no ndiyo anaanza kusoma zen arudi mtaani kutafuta ajira [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
anakuambia yeye si wa 31 & above ikimaanisha ni under 25 ila kazeeeka mapema au hujamueelewa?

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom