Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tony254, wacha kujidhalilisha, "remmitances" sio capital flow kwenye nchi, sehemu kubwa ya remittance zinatumika kununua bidhaa na huduma kuliko kuwekeza katika uzalishaji, kwa uhalisia "remittance zinasababisha *inflation" katika nchi kwasababu kiwango cha pesa kinachoingia nchini hakirokani na uzalishaji wa huduma na bidhaa nchini, pesa lazima ilingane na uzalishaji.

Hiyo jamaa amekuelewesha vizuri na kisomi Sana, Wala hajadharau remittances", lakini Kama kawaida yenu ya kupenda kujitetea Kama nlivyojitete wakati wa kupiga kura kuunga mkono vikwazo dhidi ya Ukraine na kuzikaahifu nchi zilizoamua kutokupiga kura, na baadae mnatetea harua yenu ya Jana ya kutokupiga kura dhidi ya Urusi

Kubali ukweli kwamba, remittances za Kenya zinatokana na kuuza "wataalanu" ambao Kama wangebaki Kenya wangesaidia zaidi Kenya kuliko hiyo $3B, serikali yenu inawekeza pesa nyingi katika Elimu ili kupata wataalanu wazuri, matokeo yake wale wakenya walioelimika vizuri wanaenda nje, wanaobaki ni pumba tupu, maghorofa yanaporomoka kila siku
Kuna kipindi hapa Tanzania madaktar wengi walikuwa wakihitimu masomo yao wanakwenda nje ya nchi kutafuta kazi na wanapata. Serikali ilivyokuja kufuatilia ikagundua uhaba wa madaktar ndani ya nchi unasababishwa na maslahi madogo wanayolipwa ndio maana wanakimbilia nje japokuwa wanasomeshwa na serikali. Hiki ndicho unachokielezea hapa joto la jiwe?
 
Mpoko amesikika akiota akiwa pale mbagala🤣
Hili ni zizi au dampo? 😅😅😅😅

CF8DA59F-C6AA-4B2D-99D0-4194BA8E6168.jpeg
 
Wewe fanya hivi, endelea kuamini unachoamini. Mimi sijaongea kwa kubahatisha. Ninabakia na nilichoandika hapo awali na wala sikuwa nabahatisha.
Ukishakuwa na brain drain what follows is brain malaise. Ndio maana tunaona weak education system that churns out low level engineers who build sand towers that keep on collapsing on daily basis.
 
Dual citizenship haina faida kwa Tanzania mkuu
Hakuna mtu anayedharau remittances but nchi zetu hutumia hela nyingi sana kusomesha wataalamu ambao wangetusaidia katika uzalishaji na kutoa huduma nchini lakini wanakwenda kufaidisha nchi nyingine. Amesema remittances TZ ni 450m pa lakini unajua the Government inatumia sh ngapi kwa education every year? Sasa the difference between spending on education and remittances per annum is what we loose yearly plus other accrued benefits if those wataalamu wangetumika hapa nchini.
 
Back
Top Bottom