Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante kwa picha asante kwa render 👏👏😂
Nyinyi Endeleeni kungoja serikali iwajengee gorofa 😂😂😂

Alba tower Kilimani

1649412085386.jpg


1649416750051.jpg


1649416752820.jpg


1649416756140.jpg


1649416762566.jpg


1649416767627.jpg


1649416770716.jpg


1649416773623.jpg


1649416776728.jpg


1649416786440.jpg
 
ichoboy01 bado unapinga kwamba hawa wazee wako walipigwa huko Kiev? Ukiona wakubwa wa EU wanaenda Kiev kutembelea Zelensky ujuwe hii vita mumeshindwa kabisa.

 
ndio akili yako ilipoishia wewe ndio maana siku hzi sina muda wakubishana na ww[emoji23][emoji23]
Battle ishamtokea matakoni kageuka kuwa cartoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gwizzy hio ndio sad reality ya Kenya. Usiposoma unaangamia au anaishi maisha ya umasikini sana. Wale ambao wana bahati ya kusoma wanafaidika. Hatuna fertile land kubwa au mineral resources kama nchi zingine. The good thing ni eti kwa sababu tumesoma sana unakuta kuna more than one million Kenyans working in foreign countries as doctors, nurses, teachers na kadhalika. Remittance wanayotuma nyumbani ni $3 billion kila mwaka. Hio ni the same na pesa ambayo Tanzania inapokea kwa kuuza dhahabu. Wao wamebarikiwa na dhahabu, sisi tumebarikiwa na watu waliosoma na wanaojituma.
As a Kenyan kweli uko hapa happy kabisa kuongelea upuuzi wa resource drain for minuscule returns in terms of diaspora remittances I thought you will think along the lines of making Kenyan Government coming up with deliberate policies that will grow entrepreneurs base by supporting small to medium enterprises in order to alleviate poverty and build a strong and resilient home grown economy that will set the stage for a modern Kenyan economy lakini it seems you are much content with 3b diaspora remittances without regards to how much the government has invested to the skilled kenyans in the diaspora. All these brain drain that you are happily celebrating would have made Kenya iwe imepiga hatua kubwa sana kwenye maendeleo ya nchi. People are dying for lack of doctors and nurses yet you exports these cadres to other countries badala mwatumie hapo nyumbani. Seriously there is a need of rethinking your approaches when it comes to skilled manpower.
 
Some of you laughed when I said, on day 1 of Putin's "special military operation" in Ukraine, that Russia was a third-rate military power--Bangladesh with nuclear weapons. 40 days into the war, as the Russians increasingly turn tail, it is becoming obvious that even this assessment understated the country's military ineptitude.

Russia has been shown to be just another banana republic with imperial fantasies but no weight to throw around. It has transmuted from a fabled power to a pariah dog--despised rather than feared. Putin has gone from enigmatic to pathetic. Another in a long line of pretend caesars with plenty of bark but no bite.

As the conflict now evolves into a war of attrition, things will only get worse for comrade Vladimir.
 
So do you want to tell us that designing buildings means economic control [emoji23][emoji23][emoji23] shule ulifuata nini sasa.?
Mkuu hao wazoee tuu hivyo hivyo watakwambia wana control uchumi wa marekani na uingereza kwa kuwa wanawakenya wanafanya kazi huko hata hapo uarabuni kwa ma housegirl wao watakuambia wana control chumi zao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom