Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kuongea utopolo wewe. Unadharau remittance kwa sababu una ujinga fulani ya kutoelewa umuhimu wa remittance yaani capital inflow katika uchumi husika. Hii remittance ni an important source of foreign currency exchange. Hii remittance ya $3 billion ni a bigger source of dollars to Kenya's economy kushinda hata tourism sector. Hii pesa inayotumwa inatumika kuelimisha Wakenya, au kununua shamba na kujenga majumba. Isitoshe Remittance ni kitu ambacho siku hizi inaipeperusha nchi mbali mbali. Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka. Hio ni nusu ya uchumi wenu. Narudia tena Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka ambayo ni nusu ya uchumi wenu. Endelea kuidharau remittance kwa sababu nyie hamna proffesionals waliosoma. Upuuzi mtupu.
Anayeidaharau Remittance ni mjinga wa kwanza..how can one ignore this source of income...Tz ita benefit zaidi ikiruhusu dual citizenship...Tunapokea around 450Mil usd ..sio haba

Yeye aliona ni double edged sword hakudharau bali kasema hizo skill s.mlizo export zingeweza kuwa boost zaidi
 
Sijadharau remittances bali naangalia na kuainisha the cost of creating a skilled labour and its whole benefit in strengthening forward and backward linkages in various economic sectors vis a vis diaspora remittances. Mimi sio mchumi lakini mchumi yeyote aliyeenda shule proper atakuambia the same.
Sasa kama wewe sio mchumi nani alikuambia kwamba watu wanaokwenda kufanya kazi abroad faida yao kwa uchumi ni mdogo kushinda wale waliobaki nyumbani. Sio lazima uwe mchumi ili ujuwe kwamba watu wanaokwenda abroad wanafanya contribution kubwa sana kwenye uchumi za nyumbani. Ila sikulaumu kwa maana nyie hamna hio diaspora kubwa sasa unaona kama remittance ni utopolo mtupu. Kwa habari yako Kenya ina zaidi ya 20,000 trained but unemployed teachers, zaidi ya 10,000 trained but unemployed nurses. Sasa wakati mwingine ni vizuri kutulia na kuelewa kwamba ajira ni tatizo hapa Afrika. Hata nchi yenye emmigrants wengi zaidi ni India na Wahindi wanakwenda kufanya kazi, USA, Canada na UK kwa sababu hakuna ajira nyumbani India. Lakini wakifika ulaya wanaanza kutuma nyumbani hela ndefu kwanza in dollars na wanatuma dollars nyingi kushinda hata ile inayoingia kupitia tourism. Kenya sasa hivi tunapokea dollars nyingi kupitia remittance hata kushinda tourism au uuzaji wa chai au maua. Economist yeyote atakuambia kwamba remittance ni muhimu hata tu kwa kupunguza umasikini. Ni watoto wangapi wanasomeshwa na mama au baba zao wanaofanya kazi ulaya? Ni familia ngapi zimejengewa majumba na relatives wao wanaofanya kazi ulaya? Economist gani atasema kwamba remittance ni upuuzi kama wewe unavyosema?
 
Budget ya Kenya hii hapa. Around $1 billion itatumika kwenye sekta ya kawi in the next one year. Around $1 billion nayo itatumika kwenye sekta ya maji.
download (4).jpeg
 
Wacha kuongea utopolo wewe. Unadharau remittance kwa sababu una ujinga fulani ya kutoelewa umuhimu wa remittance yaani capital inflow katika uchumi husika. Hii remittance ni an important source of foreign currency exchange. Hii remittance ya $3 billion ni a bigger source of dollars to Kenya's economy kushinda hata tourism sector. Hii pesa inayotumwa inatumika kuelimisha Wakenya, au kununua shamba na kujenga majumba. Isitoshe Remittance ni kitu ambacho siku hizi inaipeperusha nchi mbali mbali. Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka. Hio ni nusu ya uchumi wenu. Narudia tena Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka ambayo ni nusu ya uchumi wenu. Endelea kuidharau remittance kwa sababu nyie hamna proffesionals waliosoma. Upuuzi mtupu.
Tony254, wacha kujidhalilisha, "remmitances" sio capital flow kwenye nchi, sehemu kubwa ya remittance zinatumika kununua bidhaa na huduma kuliko kuwekeza katika uzalishaji, kwa uhalisia "remittance zinasababisha *inflation" katika nchi kwasababu kiwango cha pesa kinachoingia nchini hakitokani na uzalishaji wa huduma na bidhaa nchini, pesa lazima ilingane na uzalishaji.

Huyo jamaa amekuelewesha vizuri na kisomi Sana, Wala hajadharau remittances", lakini Kama kawaida yenu ya kupenda kujitetea Kama nlivyojitete wakati wa kupiga kura kuunga mkono vikwazo dhidi ya Ukraine na kuzikaahifu nchi zilizoamua kutokupiga kura, na baadae mnatetea harua yenu ya Jana ya kutokupiga kura dhidi ya Urusi

Kubali ukweli kwamba, remittances za Kenya zinatokana na kuuza "wataalanu" ambao Kama wangebaki Kenya wangesaidia zaidi Kenya kuliko hiyo $3B, serikali yenu inawekeza pesa nyingi katika Elimu ili kupata wataalanu wazuri, matokeo yake wale wakenya walioelimika vizuri wanaenda nje, wanaobaki ni pumba tupu, maghorofa yanaporomoka kila siku
 
Tony254, wacha kujidhalilisha, "remmitances" sio capital flow kwenye nchi, sehemu kubwa ya remittance zinatumika kununua bidhaa na huduma kuliko kuwekeza katika uzalishaji, kwa uhalisia "remittance zinasababisha *inflation" katika nchi kwasababu kiwango cha pesa kinachoingia nchini hakirokani na uzalishaji wa huduma na bidhaa nchini, pesa lazima ilingane na uzalishaji.

Hiyo jamaa amekuelewesha vizuri na kisomi Sana, Wala hajadharau remittances", lakini Kama kawaida yenu ya kupenda kujitetea Kama nlivyojitete wakati wa kupiga kura kuunga mkono vikwazo dhidi ya Ukraine na kuzikaahifu nchi zilizoamua kutokupiga kura, na baadae mnatetea harua yenu ya Jana ya kutokupiga kura dhidi ya Urusi

Wewe fanya hivi, endelea kuamini unachoamini. Mimi sijaongea kwa kubahatisha. Ninabakia na nilichoandika hapo awali na wala sikuwa nabahatisha.
 
Kwanza hii yao mtu anakuwa conscious after operation while in Kenya some is talking while operation is going on.
Weka ushahidi Kama Kenya Kuna Hospital yoyote," private or public" yenye uwezo wa kufanya "Brain surgery bila kufungua fuvu la kichwa, hii ni miongoni mwa " very modern technology in medicine", Kenya hamuwezi kufanya hiyo "surgery".
 
Anayeidaharau Remittance ni mjinga wa kwanza..how can one ignore this source of income...Tz ita benefit zaidi ikiruhusu dual citizenship...Tunapokea around 450Mil usd ..sio haba

Yeye aliona ni double edged sword hakudharau bali kasema hizo skill s.mlizo export zingeweza kuwa boost zaidi
Dual citizenship haina faida kwa Tanzania mkuu
 
Tony254, wacha kujidhalilisha, "remmitances" sio capital flow kwenye nchi, sehemu kubwa ya remittance zinatumika kununua bidhaa na huduma kuliko kuwekeza katika uzalishaji, kwa uhalisia "remittance zinasababisha *inflation" katika nchi kwasababu kiwango cha pesa kinachoingia nchini hakirokani na uzalishaji wa huduma na bidhaa nchini, pesa lazima ilingane na uzalishaji.

Hiyo jamaa amekuelewesha vizuri na kisomi Sana, Wala hajadharau remittances", lakini Kama kawaida yenu ya kupenda kujitetea Kama nlivyojitete wakati wa kupiga kura kuunga mkono vikwazo dhidi ya Ukraine na kuzikaahifu nchi zilizoamua kutokupiga kura, na baadae mnatetea harua yenu ya Jana ya kutokupiga kura dhidi ya Urusi

Kubali ukweli kwamba, remittances za Kenya zinatokana na kuuza "wataalanu" ambao Kama wangebaki Kenya wangesaidia zaidi Kenya kuliko hiyo $3B, serikali yenu inawekeza pesa nyingi katika Elimu ili kupata wataalanu wazuri, matokeo yake wale wakenya walioelimika vizuri wanaenda nje, wanaobaki ni pumba tupu, maghorofa yanaporomoka kila siku
Halafu una tabia mbaya ya kupuuza facts unayopewa. Sasa unasema kwamba ikiwa wataalam wangebaki Kenya wangefaidi Kenya zaidi kushinda kama wangeenda kufanya kazi ulaya na kutuma pesa nyumbani. Nimeandika hapo juu kwamba Kenya ina walimu 30,000 ambao wapo fully trained na hawana ajira hapa Kenya. Sasa sijui kwa nini umepuuza hilo jambo. Hapa sio jamvi la kupiga kusoga bila kushirikisha ubongo.
Ndio hii hapa kauli ya Teachers Service Commision inayosema kwamba walimu 30,000 wamefuzu ila hawana ajira. Usiwe unakimbia kuongea jambo usilolifahamu. Wewe ndio unajidhalilisha. Kwa hivyo ni kheri wabaki Kenya wakufe njaa kushinda wao kufanya kazi ughaibuni na kutuma pesa nyumbani? Sijui hata napoteza muda na wewe kwa nini.

Back
Top Bottom