Point yako nzuri Tony..Tatizo la Ajira ni kubwa nchi nying Africa...hata Tz ..na hii inatokana na oudated style of teaching...we still teach things which are not so applicable..in our schools..
Imefika wakati sasa..tuwe na courses ambazo ni employable
Mfano..Digital skills
.....Market Analysis
.Software develeopment
.Media Content Creation
.Coding
Pia still most goverments hazijatilia maanani sector ya Entertainment industry...
At least nimeona Tanzania tumeongeza speed tunataka kuanza kujenga Sports Academies Mashuleni, Na ku develop Arena mbili tatu....but still we need better schools for Acting and production.
Mfano..movies, music na sports vimeajili wamarekani wengi na vinawapatia hela ya kutosha
I know kuna a point kwamba development goes kwa stages na sisi Africa bado tunahitaji basic jobs ie ..teachers , docs ,engineers , lawyers ..
Lakini its a good time vikafanyika kwa mpigo
Pili africa haitilii maanani sector kama Agriculture .
View attachment 2181180