Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu una tabia mbaya ya kupuuza facts unayopewa. Sasa unasema kwamba ikiwa wataalam wangebaki Kenya wangefaidi Kenya zaidi kushinda kama wangeenda kufanya kazi ulaya na kutuma pesa nyumbani. Nimeandika hapo juu kwamba Kenya ina walimu 30,000 ambao wapo fully trained na hawana ajira hapa Kenya. Sasa sijui kwa nini umepuuza hilo jambo. Hapa sio jamvi la kupiga kusoga bila kushirikisha ubongo.
Ndio hii hapa kauli ya Teachers Service Commision inayosema kwamba walimu 30,000 wamefuzu ila hawana ajira. Usiwe unakimbia kuongea jambo usilolifahamu. Wewe ndio unajidhalilisha. Kwa hivyo ni kheri wabaki Kenya wakufe njaa kushinda wao kufanya kazi ughaibuni na kutuma pesa nyumbani? Sijui hata napoteza muda na wewe kwa nini.

Kama unakumbuka hapo mwanzo nilikuamvia GOK ingekuja na deliberate policies za kuinua watu kiuchumi na kuongeza production systems for instance strengthening of SMEs uchumi ungekuwa mkubwa wa kuweza kuabsorb hiyo workforce yote ambayo iko jobless. Pili i did not know the state of joblessness in Kenya kumbe iko kubwa hivyo. Good economic prospects in africa is possible but our only problem is maladministration na kuiga economic systems and models za developed countries.
 
inamaana russia anapigana na nato nzima pamoja na ukraine 😂😂😂😂 Tony254 alaf mjinga anasema russia ina miez miwili haijashinda anasahau marekani kapigana vita afghanistan miaka 20 na kashindwa kaondoka 🤣🤣🤣🤣

 
So iko shida gani kwa Tanzania kutoruhusu hii dual citizenship? Mbona kama ni chanzo kizuri cha mapato,Kama sisi wakulima huku ndg zetu wawe wanatutumia foreign currency tununulie mbolea tuongeze thamani ya mazao yetu. Au serikali inahofia kutapitishwa fedha chafu??
Mkuu "dual citizenship " kwa Tanzania madhara yake ni makubwa kuliko faida. Kenya Kuna ardhi kubwa imenunuliwa na matajiri ambao hata Kenya hawajafika na hiyo ardhi hawaitumii wameweka walinzi hawaruhusu hata mtoto wa shule ya chekechekea kupita akienda shule, wakati mifugo ya wafugaji inakufa kwa kukosa malisho, wakulima hawana ardhi ya kulima
 
wakenya, mzoom hii picha kila sehem then mlale kwa usingiz mwololo
IMG_5304.jpg
 
Hakuna destination KQ ina flights nyingi kama Kisumu 😂😂😂😂

Na ukiondoa Kisumu na Mombasa KQ haiende kokote nchini Kenya 😅😅😅😅

View attachment 2180920
nairobi mombasa kisumu are our 3 major cities.... also take the case of SAA for instance, it only fly btwn olivertambo capetown and durban, all the rest were 'Terminated'
 
Kisumu ni largest city?
ok. nakuru is larger. thts in terms of built-up area and population.. but still parliament consider kisumu the 3rd largest. sawa.....

pia vile tz, arusha is the 2nd largest, but mwanza is considered the 2nd city by constitution... nadhani tunaelewana
 
Back
Top Bottom