Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Budget ya Kenya hii hapa. Around $1 billion itatumika kwenye sekta ya kawi in the next one year. Around $1 billion nayo itatumika kwenye sekta ya maji.
View attachment 2180757
Kuna cartoon alisema hili ni dam na akalifananisha na JNHPP [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20220408-200432.jpg
 
Tony254, wacha kujidhalilisha, "remmitances" sio capital flow kwenye nchi, sehemu kubwa ya remittance zinatumika kununua bidhaa na huduma kuliko kuwekeza katika uzalishaji, kwa uhalisia "remittance zinasababisha *inflation" katika nchi kwasababu kiwango cha pesa kinachoingia nchini hakirokani na uzalishaji wa huduma na bidhaa nchini, pesa lazima ilingane na uzalishaji.

Hiyo jamaa amekuelewesha vizuri na kisomi Sana, Wala hajadharau remittances", lakini Kama kawaida yenu ya kupenda kujitetea Kama nlivyojitete wakati wa kupiga kura kuunga mkono vikwazo dhidi ya Ukraine na kuzikaahifu nchi zilizoamua kutokupiga kura, na baadae mnatetea harua yenu ya Jana ya kutokupiga kura dhidi ya Urusi

Kubali ukweli kwamba, remittances za Kenya zinatokana na kuuza "wataalanu" ambao Kama wangebaki Kenya wangesaidia zaidi Kenya kuliko hiyo $3B, serikali yenu inawekeza pesa nyingi katika Elimu ili kupata wataalanu wazuri, matokeo yake wale wakenya walioelimika vizuri wanaenda nje, wanaobaki ni pumba tupu, maghorofa yanaporomoka kila siku
100%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This surgery is the first to be done in East and Central Africa, Kenya can't even dream, I am not talking about government Hospitals, even your private Hospitals can't perform this type of surgery, please prove me wrong,,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Tony254
Nishamwambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka ushahidi Kama Kenya Kuna Hospital yoyote," private or public" yenye uwezo wa kufanya "Brain surgery bila kufungua fuvu la kichwa, hii ni miongoni mwa " very modern technology in medicine", Kenya hamuwezi kufanya hiyo "surgery".
Tz kwa sasa ndiyo India ya East and Central Africa.
 
Hakuna "economist" yoyote makini atakayesema kwamba "remittances" ni Bora kuliko "brain drain". remittance/money vs job creation within the country.

Hao wasomi walikosa hajira huko Kenya, ufumbuzi sio kwenda kutafuta ajira huko nje, ufumbuzi ni kutumia Elimu Yao kutengeneza ajira.

Ukweli ni kwamba 70% ya waafrika wasomi wanaofanya kazi huko nje ni "cream and most intelligent" wengi walikuwa wameajiriwa, tena serikalini, hao unaosema waalimu na nurses ambao hawajapata ajira, wengi ni daraja la chini ukilinganisha na waliotoroka, Sasa Kama hata Kenya ameshindwa "competition"ataweza huko nje?
Hivi ulisema wewe ni form four leaver eehhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Fanya hivi wewe endelea kuamini unachoamini. Mimi nakupinga 100% kwa kila ulichosema. Nakupinga kabisa kwa kila ulichosema. Sasa wacha mjadala uishie hapo.
Amekuambia remittance co capital inflows za nchi, ss wewe kama mchumi pinga kwa hoja.
 
Mombasa port is receiving ships of 300m kuendelea, siyo hizo toy-like ships.
Kaumia, yani jamaa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz kupita kiasi, anadhani maumivu anayabeba peke yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ulisema wewe ni form four leaver eehhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
one side your blaming CCM for your failed projects and another side taking credits from the same CCM successful projects? Your a very Big Fool!
 
Kaumia, yani jamaa anaumizwa sn na maendeleo ya Tz kupita kiasi, anadhani maumivu anayabeba peke yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ni uongo kwamba Mombasa is receiving ships of 300m kuendelea?
 
I know these things are new to you[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

View attachment 2180798
Hii brain surgery inafanywa hata na Somalia, onesha brain surgery without opening the skull hapo Kunyaland kama kweli una kende, tukiwaambia Tz co size yenu kwenye mambo muhimu ya kujali wananchi muwe mnaelewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnafanya vitu tulifanya kitambo sana [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]

View attachment 2180801
Hii inafanywa na Somalia pia ndio maana huwezi kuta mnamfanyia foreigner huduma hii ya kufungua mafuvu ya watu, tuliwaambia kwa ss hakuna hata mbwa atakuja kenya kwa huduma za afya cz tuko mbali mno, ni sawa na mgonjwa atoke India aende Sudan kwa huduma za afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Why did Magufuli come to Kenya?😂😂🤣😂
 
ata mkuwe New York bado wanasiasa wenu wakigonjeka watakimbizwa tu hapa Nairobi hospital
Kwamba mumfungue fuvu lake ndipo mumfanyie brain surgery, hivi ungekuwa wewe ungekubali, au nikuulize tu ukipata na tatizo la ubongo utakubali ufanyiwe surgery hapo Kenya na co India ya East and Central Africa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii inafanywa na Somalia pia ndio maana huwezi kuta mnamfanyia foreigner huduma hii ya kufungua mafuvu ya watu, tuliwaambia kwa ss hakuna hata mbwa atakuja kenya kwa huduma za afya cz tuko mbali mno, ni sawa na mgonjwa atoke India aende Sudan kwa huduma za afya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Whatever you are doing now Kenya did them long ago🤣😂
 
Back
Top Bottom