7seven
JF-Expert Member
- Mar 27, 2022
- 3,744
- 8,067
Aisee kaka inawezekana kabisa.Mkumbwa gani huyo aliyefanikiwa mpaka kuifumba macho Serikali ya JPM wakampa Msalato Airport na Phase 2??[emoji848][emoji28]
Aisee kaka inawezekana kabisa.Mkumbwa gani huyo aliyefanikiwa mpaka kuifumba macho Serikali ya JPM wakampa Msalato Airport na Phase 2??[emoji848][emoji28]
Kwasababu ghorofa za serikali Kodi yake huingia serikalini, haya ya watu binafsi Kodi yake huingia katika mifuko ya watu binafsi [emoji1][emoji1]Watanzania bado wanangoja serikali iwajengee gorofa.
Altura tower, 30flrs.
View attachment 2180443
View attachment 2180444
View attachment 2180445
View attachment 2180446
View attachment 2180448
Pick what is best disregards the rest message sent and delivered.Mtu akikusikia ukiongea anaweza fikiri kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda Kenya. Wewe na uchumi wenu mdogo unatupa sisi advice jinsi ya kukuza uchumi wetu? Hahaha wachana
na bangi ya Gabon.
Sijadharau remittances bali naangalia na kuainisha the cost of creating a skilled labour and its whole benefit in strengthening forward and backward linkages in various economic sectors vis a vis diaspora remittances. Mimi sio mchumi lakini mchumi yeyote aliyeenda shule proper atakuambia the same.Wacha kuongea utopolo wewe. Unadharau remittance kwa sababu una ujinga fulani ya kutoelewa umuhimu wa remittance yaani capital inflow katika uchumi husika. Hii remittance ni an important source of foreign currency exchange. Hii remittance ya $3 billion ni a bigger source of dollars to Kenya's economy kushinda hata tourism sector. Hii pesa inayotumwa inatumika kuelimisha Wakenya, au kununua shamba na kujenga majumba. Isitoshe Remittance ni kitu ambacho siku hizi inaipeperusha nchi mbali mbali. Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka. Hio ni nusu ya uchumi wenu. Narudia tena Nigeria inapokea remittance ya $35 billion kila mwaka ambayo ni nusu ya uchumi wenu. Endelea kuidharau remittance kwa sababu nyie hamna proffesionals waliosoma. Upuuzi mtupu.
ichoboy01 bado unapinga kwamba hawa wazee wako walipigwa huko Kiev? Ukiona wakubwa wa EU wanaenda Kiev kutembelea Zelensky ujuwe hii vita mumeshindwa kabisa.
25 floorsItakuwa na ghorofa ngapi?
These are things that we did long time ago.
Wacha wajifunze.These are things that we did long time ago.
Kwanza hii yao mtu anakuwa conscious after operation while in Kenya some is talking while operation is going on.Wacha wajifunze.
Marekani imewachukua miaka mingapi Afghanistan?Ati Russia Ni superpower!!!
Two months imewashinda kuiteka Ukraine with 200b GDP!!!
Ebu imagine US kama wanaweza shindwa kufika Mexico city with 1trillion economy!!!
Russia Ni bure sana
Bei mkuu.Duh, huyu Mkandarasi kimeo kapewa tena na phase 2 kaongezewa muda, sijui ametushika wapi aisee[emoji22]