Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Some of you laughed when I said, on day 1 of Putin's "special military operation" in Ukraine, that Russia was a third-rate military power--Bangladesh with nuclear weapons. 40 days into the war, as the Russians increasingly turn tail, it is becoming obvious that even this assessment understated the country's military ineptitude.

Russia has been shown to be just another banana republic with imperial fantasies but no weight to throw around. It has transmuted from a fabled power to a pariah dog--despised rather than feared. Putin has gone from enigmatic to pathetic. Another in a long line of pretend caesars with plenty of bark but no bite.

As the conflict now evolves into a war of attrition, things will only get worse for comrade Vladimir.
Nonsense
 
Watu wameingia google ili kuona kama ni kweli mtu anaweza kufanyiwa brain surgery without opening the skull na akapona, Wakenya cc Tz kwa sasa tuko mbali sana ki technology kuanzia usafiri mpk afya, ndiyo maana Wakenya wengi na raia wote East and Central Africa wanakuja kutibiwa hapa Tz, ila yote kwa yote nimeshangaa kuona kuna mtu is not aware of this technology in this 21century

ichoboy01 Hawa wakubwa wa EU, Ursula Von der Leyen na Josep Borel wameshawasili Kiev na wameenda Bucha kutazama kitendo cha massacre mliyofanya huko.
 
Lower your weapon broo.
Kanishangaza sn, unajua cc Watz wala sio watu wa kuongea ongea, kuna huduma nyingi za kushangaza zinafanyika hapa Tz lkn hatuongei, raia wa nchi mbalimbali hapa Africa wanatoka kwao wanakuja Tz kutibiwa lkn tumekausha, ila mkuu nimecheka sana yn mtu hana taarifa kwamba dunia kwa ss kuna technology ya kufanya brain surgery bila kufungua fuvu, alafu huyo mtu anasema anasoma mambo ya afya
 
kuna watu humu walikuwa wanang'ang#ania inspections zifanyike nchini kw hali hii sijui kama tungetoboa!
Ni uzembe wetu tu tunashindwaje it means that tumeshindwa na mambo madogo madogo makubwa tutayaweza kama vinatushinda vitu kama hivi tunavyo vidharau ndio vinafanya upatikanaji wa ajira unakuwa mgumu sio kila mradi wa serikali unakuwa na faida kwa serikali bali ni kwa ajiri ya ajira kwa wananchi wake serikali zisizo na ufikiri ndio huwaza kuvuta faida ndefu bila kuangalia manufaa kwa wananchi wake
 
Dualing of Igawa-Tunduma Highway is due to start 👇

Screenshot_20220408-210855.png

Screenshot_20220408-210924.png
 
Watu wameingia google ili kuona kama ni kweli mtu anaweza kufanyiwa brain surgery without opening the skull na akapona, Wakenya cc Tz kwa sasa tuko mbali sana ki technology kuanzia usafiri mpk afya, ndiyo maana Wakenya wengi na raia wote East and Central Africa wanakuja kutibiwa hapa Tz, ila yote kwa yote nimeshangaa kuona kuna mtu is not aware of this technology in this 21century

Wakunya itawachukua miaka 20 kwa private hospitals zao kufika ilipo Tanzania leo na miaka 500 kwa public hospitals zao kufika zilipo za Tanzania leo
 
Wakunya itawachukua miaka 20 kwa private hospitals zao kufika ilipo Tanzania leo na miaka 500 kwa public hospitals zao kufika zilipo za Tanzania leo
Kuna mtu kachezea upper cut sahizi anaugulia maumivu mana ka Google kaona ukweli kuhusu brain surgery without opening the skull alikuwa hajui, pia kaona huduma hiyo pamoja na ile ya bonne marrow transplant zinafanyika tu Tz na c nchi nyingine
 
Kanishangaza sn, unajua cc Watz wala sio watu wa kuongea ongea, kuna huduma nyingi za kushangaza zinafanyika hapa Tz lkn hatuongei, raia wa nchi mbalimbali hapa Africa wanatoka kwao wanakuja Tz kutibiwa lkn tumekausha, ila mkuu nimecheka sana yn mtu hana taarifa kwamba dunia kwa ss kuna technology ya kufanya brain surgery bila kufungua fuvu, alafu huyo mtu anasema anasoma mambo ya afya

Ni washamba mnoo.
 
25 floors
Nasisitiza muwe makini zisije zikaporomoka na kuua watu. Nawapongeza pia kama mtafanikisha kumaliza huu mradi wa 25 floors utaongeza idadi ya majengo marefu Nairoberry .
 
Anayeidaharau Remittance ni mjinga wa kwanza..how can one ignore this source of income...Tz ita benefit zaidi ikiruhusu dual citizenship...Tunapokea around 450Mil usd ..sio haba

Yeye aliona ni double edged sword hakudharau bali kasema hizo skill s.mlizo export zingeweza kuwa boost zaidi
So iko shida gani kwa Tanzania kutoruhusu hii dual citizenship? Mbona kama ni chanzo kizuri cha mapato,Kama sisi wakulima huku ndg zetu wawe wanatutumia foreign currency tununulie mbolea tuongeze thamani ya mazao yetu. Au serikali inahofia kutapitishwa fedha chafu??
 
Kuna mtu kachezea upper cut sahizi anaugulia maumivu mana ka Google kaona ukweli kuhusu brain surgery without opening the skull alikuwa hajui, pia kaona huduma hiyo pamoja na ile ya bonne marrow transplant zinafanyika tu Tz na c nchi nyingine
😂😂😂😂😂😂 Wamebaki na rose muhando katibiwa Kenya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hapa huwa wananiachaga hoi 😅
 
Back
Top Bottom