Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kutafuta visingizio, Magaidi wa Mozambique wanapigwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo South Africa, Rwanda, Zimbabwe na Msumbiji, bado hawajatokomezwa.

Kumbuka Tanzania tulipakana na utawala wa Wareno, wenye nguvu kubwa za kijeshi, TPDF walikua wakipambana nao Uso kwa Uso kwa zaidi ya miaka 10, hatimae tuliibuka washindi, kwa kipindi chote hicho cha mapigano, bado Tanzania iliendelea kubaki salama kutokana na uimara wa Jeshi letu
Wacha kujidanganya. Wareno hawakuwa na lengo la kupiga Tanzania na hio ndio maana hawakutuma jeshi lao kuja kuvamia Tanzania. Wareno walichotaka ni kupigana na Frelimo pindi tu wanapovuka border na kuingia Mozambique kutoka TZ. Nakuhakikishia kwamba kama Wareno wangedeclare war against Tanzania mngeumia sana nyinyi. Ukumbuke wakati huo in the 1960s jeshi la Kenya,Tanzania na Uganda zilikuwa hovyo. Hazikuwa na equipments za kutosha kwa mfano ndege za kivita au meli za kivita au vifaru. Hawa wazungu walikuwa
wanamiliki hivi vifaa vyote. Baada ya kujipatia uhuru jeshi zetu zilikuwa hovyo kabisa. Huo ndio ukweli. Nyie mna bahati Wareno hawakudeclare vita dhidi ya Tanzania kwa maana mngepigwa muwe vumbi.
 
Good morning 🌤️
FOif5EWXoAAgxR8.jpeg
 
Hi Teargas naona bado mko busy na debate, freshi, outside Dar CBD hakuna anywhere to measure up na Kilimani, even that CBD itself has no such class on average.., #FACT!.
Kilimani is better anywhere in Dar, including their CBD. There's a day I dared them to show us Posta roads tulinganishe na za Kilimani, wote walitiroka
 
Sheria zina limit ya uzee wa magari!
basi inabidi zifuatwe hizo sheria,sababu kama muagizaji anauwezo wa kuagiza gari lililozeeka na likakaguliwa hapa basi hata likikaguliwa huko anauwezo pia wakuagiza gari iliyozeeka,

pia hata hivyo kama kuna hiyo sheria muagizaji akiagiza gari zee ni hasara kwake haiingiliani na masuala ya ukaguzi wa ndani su nje

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
ichoboy01 hebu njoo. Watu wako hawa wanatoroka.

sio wanatoroka nilikwambia ww hvi vita bado hujavijua🤣🤣🤣 hvi vita ni vya akili sana na hapa europe ameingia kichwa kichwa sana ngoja uone mziki sasa na sasa kiev inashambuliwa usiku mchana 😂😂😂
 
Back
Top Bottom