Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anavyoongea tu kuhusu huo ukaguzi unaona kabisa hayo maneno sio yeye, yani alimezeshwa usiku, shida ni kwamba huyu mama hajui vitu vingi vinavyohusiana na mamlaka yake msameheni bure hajui maskini ya Mungu, mwishowe kumeza kumemsumbua mpk ukaguzi anasema uchaguzi
Yupo mahali asipostahili kichizi, she makes the worst president Tanzania has ever had in history!

Ndio uniambie kwa akili hii mpaka 2030 🤣🤣🤣🤣
 

Anerlisa Done With Broke Men as She Flaunts New Lover, Sh60,000 Champagne​

by


Kahawa Tungu

about 5 hours ago


anerlisa

Anerlisa Muigai. [Courtesy]


Keroche heiress and CEO of Nero Company Limited Anerlisa Muigai is no longer dealing with broke men.
In a series of instastories, the sassy businesswoman flaunted bottles of pricey champagne gifted to her by a man whose identity is yet to be revealed.


anerlisa

The man who is allegedly her latest love interest surprised her with an Armand de Brignac, a pricey champagne ‘Ace of Spades’.

“It is what it is. My love decided to surprise me. Dealing with no broke n**s,” a caption on one of her stories read.

anerlisa








Armand de Brignac, known as Ace of Spades, is a French Champagne owned by Shawn “Jay-Z” Carter and LVMH.

The brand is produced by Champagne Cattier and sold in opaque metallic bottles. The brand’s first bottling, Armand de Brignac Brut Gold, is identifiable by its gold bottle with French pewter Ace of Spades labels.


A bottle retails between Sh65,000 and Sh70,000.

Last month, Anerlisa shared a snapshot of herself sitting on her new lover’s laps. She was careful not to expose his identify.

Her fans were left guessing who the lucky man was when she provided a sneak peek on her Instagram stories.

Anerlisa married Bongo Flava star Ben Pol in 2020 and got divorced 11 months later.


Email your news TIPS to news@kahawatungu.com or WhatsApp +254708677607. You can also find us on Telegram through www.t.me/kahawatungu



MY TAKE
Truth to be told huyu dada bado anampenda Ben Pol maana hata huyu mwanaume aliyenaye sasa bado anafanana na Ben Pol!
Pedestrian reasoning.
 
Hata mimi nashangaa gari kama ikiwa mbovu huko italetwa tuu hapa halafu ukaguzi ukifanyika hapa nyumbani inakutwa mbovu na inaenda kuwa destroyed aliyeagiza anapata hasara serikali inapata hasara maana import bill inakuwa kubwa unnecessarily kwa kupurchase obsolete products plus cost ya kudispose hilo gari. Hence pre destination inspection inapaswa ifanyike kwenye country of origin lakini serikali isimamie hayo mapato vizuri.
Na hao watu wa nje wakicheza deal tuletewe magari mabovu nani wa kulaumiwa?
Hii inatakiwa style ya covid tu unapimwa kwenye nchi yako na unapimwa kwenye nchi unayoenda
 
Kwani hayo ya ucheleweshaji na ukiritimba yalimalizwa na Mwendazake?

Toka TBS wameanza hiyo kazi malalamiko yameongezeka kwa hiyo tija iliyotarajiwa haijapatikana,kwa hiyo kama kwa kutumia mawakala italeta tija ni sawa tuu kuliko transporters wakimbie.
According to bibi hakuna haja ya kukagua magari wakati hatutengenezi sisi, sasa ilo shirika la tbs wanini asilifute ukaguzi wote ufanyike hukohuko sababu hatuna haja ya kukagua tusivyo tengeneza?
 
Hawa jamaa hawawezekani.
Halafu ushangae ujenzi wao unatumia muda mfupi kumalizika tena kwa ufanisi mkubwa lakini wakija Afrika wanatumia muda mrefu mpaka wanapigwa mkwara. Inawezekana teknolojia wanayoitumia kwao ni bora zaidi ya wanayoitumia huku kwetu; maana mazingira yao ni ya vilima vilima tofauti na sisi.
 
Wacha kujisifu. Tanzania haina machafuko kwa sababu mna bahati ya jiografia, sio kwamba nyinyi ni special. Ni kwamba kama TZ ingekuwa kijiografia mahali Kenya iko, karibu na shabab mngepigwa tu. Mna bahati hawa vijana wa Mozambique wanajifunza ugaidi tu na wala hata hawajui kujilipua na bomb wala kuunda IED ya kulipua gari. Hao ni magaidi wajinga tu ambao hawana technical skills ambazo Isis au Al shabab iko nayo.
Wacha kutafuta visingizio, Magaidi wa Mozambique wanapigwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo South Africa, Rwanda, Zimbabwe na Msumbiji, bado hawajatokomezwa.

Kumbuka Tanzania tulipakana na utawala wa Wareno, wenye nguvu kubwa za kijeshi, TPDF walikua wakipambana nao Uso kwa Uso kwa zaidi ya miaka 10, hatimae tuliibuka washindi, kwa kipindi chote hicho cha mapigano, bado Tanzania iliendelea kubaki salama kutokana na uimara wa Jeshi letu
 
Eti 80% ya trade ya Kenya inategemea Tanzania na Uganda? Uongo tu. Exports ina umuhimu kushinda imports na Pakistan ambayo inanunua majani chai ya Kenya kwa wingi ina umuhimu kwetu kushinda Tanzania. Vile vile Netherlands ambayo inanunua maua na mboga yetu ina umuhimu kwetu kushinda Tanzania. Punguzeni majivuno watu. Wacheni kujipiga vifua kwa uongo mnaojiambia.
Nimekuuliza ni nchi gani zaidi ya Tanzania na Uganda ambazo zinanunua kwa wingi bidhaa zenu za viwandani?, hebu niambie Exports za maua na Chai zinaingiza kiasi gani na ulinganishe na exports to Tanzania + Uganda. Je ajira zinazozalishwa na manufacturing sectors ambazo soko lake kuu ni Tanzania na Uganda na ajira zinazozalishwa kutokana na maua na Chai zipi ni muhimu. Kenya bila EAC haiwezi kuwepo
 
According to bibi hakuna haja ya kukagua magari wakati hatutengenezi sisi, sasa ilo shirika la tbs wanini asilifute ukaguzi wote ufanyike hukohuko sababu hatuna haja ya kukagua tusivyo tengeneza?
Kwanza hii ni hoja mpya kaileta na ina sound,magari TBS wanakagua nini?
 
Back
Top Bottom