Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio ninashangaa. Tuseme defect lipatikane kwa gari, nani atagharamikia shipping costs za kuirudisha gari mahali ilipotoka? Au hata kama spare part itatumwa, nani atagharamikia hio cost ya kutuma spare part? Hata defect ikipatakana, serikali yenu itafanyaje? Itakaza aliyenunua gari kuingiza gari eti kwa sababu ina defect? Kwa hivyo aliyenunua naye airudishe alikoitoa? Sielewi. Ukaguzi unastahili kufanyika Japan huko.

soma hii afu nipe feedback or any comment..
hata kama hauna, pls give me any feedback hata kusema “thanks for sharing”.
IMG_5224.jpg

ni zaidi ya kituko mkuu

sikuhiz ile hashtag #MamaAnaupigaMwingi naona watu wameifanya kuwa ni kejeli
Kuna companies za Dubai kama nne ndio zilikua zimekasimiwa kazi ya vehicle inspection kwa niaba ya TBS then zinawalipa TBS commission, Dubai Expo ndio imekuja na hili, sasa ile garage TBS iliowekeza hapo TPA itafanya kazi gani? Ama kweli kosa mali upate akili!
 
nilichoona.. hajali hali ya Tanzania au watanzania hasa ajira, anajali watu wa nje wanasemaje/wanatakaje..
 
Huyu mama anashauriwa mambo mengi asiyoyajua na yeye anakubali kwasababu hajui mambo mengi ambayo kiongozi anapaswa kuyajua, shida ilianzia pale katiba letu bovu lilipomzawadia kiti, but hakuwa amewaza wala kujiandaa kuwa Rais na kuna mambo mengi maskini ya Mungu anapaswa kuyapitia kabla ya kutoa uamuzi lkn atayapitiaje wkt hajui aanzie wapi. Tutulie tu hakuna jinsi ila tunapoelekea wale wenye chuki na uongozi uliotukuka uliopita watatii japo wameshaanza kutii kimya kimya.
 
Unaambiwa alimchukia JPM by passion kutokana na JPM kufyeka na kuwananga wenye vyeti fake sababu yeye elimu yake yote ni fake ukiangalia CV yake ni elimu ya kuunga unga na toothpicks na ni fake

Hana elimu yoyote maskini Yaani nchi mikononi mwa kihio, Makamba ndio mastermind wake tofauti na wataalam!
 
nilichoona.. hajali hali ya Tanzania au watanzania hasa ajira, anajali watu wa nje wanasemaje/wanatakaje..
Eti anaongea kabisa vitu vitapanda bei, nauli zitapanda na kawaambia mawaziri na wabunge wawaambie wananchi hilo, ss hapo c ndio anawapa ruhusa walanguzi wazidishe bei mara dufu. Ni sawa unaenda kwa machinga alafu kabla hajakupa bei unaanza kumwambia "hivi hii suruali huwezi kuniuzia kwa shilingi elfu 50" ss hapo hata kama ilikuwa inauzwa elfu 10 unategemea nn hapo.

Uongozi huu ni dhaifu kuwahi kutokea Tz na ndiyo maana wamebaki kuongea ongea tu tutajenga hiki, tutajenga kile, lkn ukweli ni kwamba hakuna wanachojenga zaidi ya kuendeleza yale yale ya awamu ya tano na tena wanaendeleza kwa kusua sua licha ya kuweka matozo na kukopa kopa bila akili.
 
Unaambiwa alimchukia JPM by passion kutokana na JPM kufyeka na kuwananga wenye vyeti fake sababu yeye elimu yake yote ni fake ukiangalia CV yake ni elimu ya kuunga unga na toothpicks na ni fake

Hana elimu yoyote maskini Yaani nchi mikononi mwa kihio, Makamba ndio mastermind wake tofauti na wataalam!
Hii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.
 
Back
Top Bottom