Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dom

Screenshot_20220329-214554.png


dalali_errick_dodoma_1648579898513_0.jpg
 
ww vita hvi bado hujavielewa mbinu za kivita ni nyingi sana ila nusu ya ukraine iko chini ya urusi hasa yale majimbo yalikua muhimu kwake
warusi tumeshawazoea ikifika jioni wanasemaga tumemaliza vita kwenye huu mji wa kiev ...sasa tunarudi nyuma ......wabongo na warrusian tukiamka asubuhi na mapema saa 12 tunakuta KIEV imegeuzwa juu chini majivu akati jana yake RUSSIAN COMANDO'S walisema vita imeisha hapo.....
 
Usikute ni ujanja wa Putin kaamua kuwarudisha nyuma wanajeshi wake ili akipiga nyuklia asilete madhara na vifo kwa askari wake. Vita ni mbinu, akili , mikakati na ujanja mwingi. NIMEWAZA TU.
and so u think Nato will stomach this.!!? 🤔
 
warusi tumeshawazoea ikifika jioni wanasemaga tumemaliza vita kwenye huu mji wa kiev ...sasa tunarudi nyuma ......wabongo na warrusian tukiamka asubuhi na mapema saa 12 tunakuta KIEV imegeuzwa juu chini majivu akati jana yake RUSSIAN COMANDO'S walisema vita imeisha hapo.....
Tony254 hvi vita bado hajavielewa 😂😂

 
Asa niliwauliza Jiji lipi lina majengo mengi zaidi Marefu katiya Dar vs Nai, mpk leo mnanyamazaga kimya, jibuni hilo kwanza
most definitely nairobi..!
as in, nbi is so much expansive so much so that u cannot fit it in one single page.!, whereas dar cbd is a one-unit-pact kind of a city
cc: ichoboy01


NB: COMPARING DAR AND NBI, ON A LEVEL PLAYING GROUND, WITHOUT ANY BIAS ON EITHER SIDE 👇🏽👇🏽

dar
Screenshot_20220310-082242_Chrome.jpg
Screenshot_20220316-153833_Chrome.jpg
Screenshot_20220329-231108_Gallery.jpg


vs

nbi
1054570432.jpeg
ZJd5lpEcx9ZyVUoLbP0uGXDVrsHhcSGXX2ayfZ3iVqU.jpg
Screenshot_20220330-192914_Photos.jpg
 
yaani uongo bila aibu mngekua mnavuka boda kuja bongo kwa matibabu , yaani kuna siku mlikua mnashang'aa blood transfusion kua bure huku Tanzania . Acha sifa za kijinga mngekua na bima nchi nzima last year kuna kuna youtuber mkenya anaitwa African tigress alikua anaomba donation hili wachukue mwili wa baba yake hospitali wakazike . Where is those health insurance ?
ndiyo huyo huyo uliye mquote

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Hii Ndio nchi wanasema ina gdp ukubwa mara sijui jeshi lao lipo juu in terms of millitary rankings daah wanatia aibu aisee juzi tuu treni limeishiwa mafuta

kwenye hio ya kuishiwa mafuta.. kuna comment/tweet moja niliona jamaa alitabir kwa hali hio bandits wataattack trains, sasa wameattack kweli ase
 
KENGE WEWE .....peleka huu ujinga wako kule kwenye jukwaa la siasa ....usituharibie uzi hapa.......yaani we ni dog ...kule kwenye dr & nairobi umeharibu ule uzinkwa ujingaa huu huu ...na hapa tena waja kutuharibia....stupid
hayo ndo huwa mizi mtaani
 
mara sio dennis okare, mara sio hassan joho, mara sasa ni nick..
hii kitu hii............. hii.! ....... hii.!!!

Screenshot_20220330-023601_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom