Note that kati ya hio gdp ya EAC ya $240 billion, takriban nusu yake ( yaani$110 billion) ni ya Kenya. Nchi zingine zote zinagawana hiyo nusu ingine iliyobaki.
Kama hii teknolojia itaweza kuzifanya barabara zidumu muda mrefu itasaidia sana kwenye uchumi wa nchi. Serikali ikishajiridhisha na ubora wake wasimuache wamsaidie.
Hivi kwa akili yako unakubali kwamba Russia inaweza kushindwa hii vita?, Punguza kukurupuka unapoona au kusoma habari yoyote, kumbuka jinsi MK254 alivyokudanganya kuhusu kupatikana mafuta huko Lamu, uliandika insha ndefu Sana, nilikuonya kuacha kusherehekea jambo ambalo huna uhakika nalo, hasa likitoka kwa wakenya, kwasababu ninyi ni watu wa kupenda kujisifu Sana, unakumbuka nilicheka Sana sikutaka kujibu kwasababu ninawajua vizuri ninyi wakenya, Je Leo unaamini kile nilichokuambia?, hata hii vita ya Ukraine, nitakukumbusha tena, lazima Ukraine itakubaliana na matakwa ya Russia ya kuwa "Neutral', Ukraine haiwezi Shinda hii vita kwa kutumia silaha
We umekuja kugawa watu huku sio? maswala ya sukuma gang yanakujaje kwenye hili jukwaa au unafikiri humu wote tuna mihemuko ya kisiasa sasa unataka tuanze kubishana wenyewe ili iweje kwani kenya hakuna siasa au wakenya wa hili jukwaa wote wako upande mmoja wa kisiasa? mbona wao hawaendekezi mambo hayo ingawa kwao yanawasumbua. Dogo jaribu kujitambua
Name one rich Tanzanian who thinks about Kenya, In fact the opposite is true, many Kenyans are crossing border to Tanzania for medical attention, wether you like or not, Tanzania has the best Hospitals in East, Central and Southern Afrika out of South Africa
We are talking about majority citizens of Kenya and Tanzania, unfortunately lower class citizens who make over 80% in Kenya are treated as second class citizens, Kenya is a man eat man country.
Yaani tunawashangaa Sana ninyi wakenya, mnapozungumzia Kenya zaidi mnazungumzia Nairobi, na mnapozungumzia wakenya mnawazungumzia wakenya matajiri tu, wale masikini ambao ndio wengi mnawaona Kama ni takataka. Kwa taarifa yako, matajiri na politicians hapo Kenya hawatumii Hospitali zenu, wote hutibiwa nje ya Kenya hata kwa matatizo madogo, kumbuka pua ya Issac Rutto
Hivi kwa akili yako unakubali kwamba Russia inaweza kushindwa hii vita?, Punguza kukurupuka unapoona au kusoma habari yoyote, kumbuka jinsi MK254 alivyokudanganya kuhusu kupatikana mafuta huko Lamu, uliandika insha ndefu Sana, nilikuonya kuacha kusherehekea jambo ambalo huna uhakika nalo, hasa likitoka kwa wakenya, kwasababu ninyi ni watu wa kupenda kujisifu Sana, unakumbuka nilicheka Sana sikutaka kujibu kwasababu ninawajua vizuri ninyi wakenya, Je Leo unaamini kile nilichokuambia?, hata hii vita ya Ukraine, nitakukumbusha tena, lazima Ukraine itakubaliana na matakwa ya Russia ya kuwa "Neutral', Ukraine haiwezi Shinda hii vita kwa kutumia silaha
Keroche heiress and CEO of Nero Company Limited Anerlisa Muigai is no longer dealing with broke men.
In a series of instastories, the sassy businesswoman flaunted bottles of pricey champagne gifted to her by a man whose identity is yet to be revealed.
The man who is allegedly her latest love interest surprised her with an Armand de Brignac, a pricey champagne ‘Ace of Spades’.
“It is what it is. My love decided to surprise me. Dealing with no broke n**s,” a caption on one of her stories read.
Armand de Brignac, known as Ace of Spades, is a French Champagne owned by Shawn “Jay-Z” Carter and LVMH.
The brand is produced by Champagne Cattier and sold in opaque metallic bottles. The brand’s first bottling, Armand de Brignac Brut Gold, is identifiable by its gold bottle with French pewter Ace of Spades labels.
A bottle retails between Sh65,000 and Sh70,000.
Last month, Anerlisa shared a snapshot of herself sitting on her new lover’s laps. She was careful not to expose his identify.
Her fans were left guessing who the lucky man was when she provided a sneak peek on her Instagram stories.
Anerlisa married Bongo Flava star Ben Pol in 2020 and got divorced 11 months later.
Usikute ni ujanja wa Putin kaamua kuwarudisha nyuma wanajeshi wake ili akipiga nyuklia asilete madhara na vifo kwa askari wake. Vita ni mbinu, akili , mikakati na ujanja mwingi. NIMEWAZA TU.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.