Wacha kujidanganya. Wareno hawakuwa na lengo la kupiga Tanzania na hio ndio maana hawakutuma jeshi lao kuja kuvamia Tanzania. Wareno walichotaka ni kupigana na Frelimo pindi tu wanapovuka border na kuingia Mozambique kutoka TZ. Nakuhakikishia kwamba kama Wareno wangedeclare war against Tanzania mngeumia sana nyinyi. Ukumbuke wakati huo in the 1960s jeshi la Kenya,Tanzania na Uganda zilikuwa hovyo. Hazikuwa na equipments za kutosha kwa mfano ndege za kivita au meli za kivita au vifaru. Hawa wazungu walikuwa
wanamiliki hivi vifaa vyote. Baada ya kujipatia uhuru jeshi zetu zilikuwa hovyo kabisa. Huo ndio ukweli. Nyie mna bahati Wareno hawakudeclare vita dhidi ya Tanzania kwa maana mngepigwa muwe vumbi.