Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
achana na huyo mvivu wa kutafuta taarifa.
 
Dar is the city , and you know that...
Today's question. Does Dar really deserve to be called a city?

View attachment 2170057
I can ask the samething....
JamiiForums1449584461.jpg
 
Attachments

  • JamiiForums-989914653.jpg
    JamiiForums-989914653.jpg
    152.8 KB · Views: 22
Kweli hili taahira

"unakagua gari umetengeneza wewe..."

Sasa madawa na bidhaa nyingine kutoka nje TBS huwa inazikagua ili iweje sababu hazitengenezwi Tanzania!

Yaani hili ni janga kubwa zaidi ya tunavyodhani, tupo hapa Muumba atupe uhai ila mkataba wa gas ni kihama

Magufuli alitaka kujua kinaganaga kwanini plant iwe billion 30$

Investor akisema anainvest billion 30$ kwenye rasilimali yako sio jambo la kufurahia sababu hiyo pesa atatakiwa airudishe yote kwanza then ndio faida ifate, wawekezaji wana over estimate na kufluctuate gharama za uwekezaji ili wakupige kwenye return of investment capital

Atawekeza billion 1 akuambie billion 10 ili wakati anakusanya zaidi ajitetee kwamba narudisha mtaji wangu wa uwekezaji

Cha kushangaza saivi tu naambiwa sio billion 30$ tena bali zitakua billion 40$ upigaji uliotukuka japo watu wanashangilia pasi kujua ni kifo cha gas yetu hiki

Viongozi wa awamu hii ni kama wana minyoo kwenye ubongo. 28-feb waliondoa tozo ya tzs 100 kwenye wese, 30-mar wameirudisha
 
Wacha kujidanganya. Wareno hawakuwa na lengo la kupiga Tanzania na hio ndio maana hawakutuma jeshi lao kuja kuvamia Tanzania. Wareno walichotaka ni kupigana na Frelimo pindi tu wanapovuka border na kuingia Mozambique kutoka TZ. Nakuhakikishia kwamba kama Wareno wangedeclare war against Tanzania mngeumia sana nyinyi. Ukumbuke wakati huo in the 1960s jeshi la Kenya,Tanzania na Uganda zilikuwa hovyo. Hazikuwa na equipments za kutosha kwa mfano ndege za kivita au meli za kivita au vifaru. Hawa wazungu walikuwa
wanamiliki hivi vifaa vyote. Baada ya kujipatia uhuru jeshi zetu zilikuwa hovyo kabisa. Huo ndio ukweli. Nyie mna bahati Wareno hawakudeclare vita dhidi ya Tanzania kwa maana mngepigwa muwe vumbi.
Unaweza kuwa na silaha kubwa nzuri na za kisasa, jeshi kubwa lakini kama intelijensia yako ni hafifu na dhaifu utapigwa tu, na hizo silaha zako ndizo zitatumika kukupiga.
Mkwawa aliwafanya nini Wajerumani?? Enzi hizo za mikuki na mishale lakini walichezea kichapo heavy.
Kwahiyo kipindi hicho intelijensia ya Tanzania ilikuwa kali na wananchi walikuwa na uzalendo na nchi yao. Hata sasa hivi bado tuko vizuri japo hatupendi kujitangaza tunamfukuza mwizi kimya kimya.
War is about inelligency, morale and skills. Refer to Soviet against Finland during WW2.
 
wakenya ni bure kabisa yaani ni wajinga sana,

kwa hiyo watakuwa wanamwagilia hizo takataka kwa kutumia gari,kilichowafanya washindwe kuweka miundo mbinu ya mabomba ni nini,

hii dunia kuna vituko sana na ukitaka vituko nenda kenya ndiyo utajua kuwa kenya inarudi nyuma baada ya kwenda mbele
FB_IMG_1648719107158.jpg

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Ukijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
hawajui histor yeyote hao usipate tabu kumuelekeza konokono aongeze speed

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Most of our modern roads use solar including those within the city. It is now mandatory for all new roads to have street lights
Which modern roads are you talking about? Tanzania is not even among the top ten countries with quality roads in Africa.
 
Ukijibu mjadala uwe na kumbukumbu za historia Frelimo walikuwa stationed in Tz na kuwa sponsored na tz wapiganaji wa Frelimo walikuwa trained na kuweka kambi Tanzania pia Tanzania ilitoa military hardware katika support ya vita pamoja na intelligence. Hence enough reason kwa Portugal kulaani Tanzania in collaboration with Boers who used Malawi and Mozambique to perpetrate their clandestine operations against Tanzania.
Nyinyi hamjawahi kupigana na wazungu kama sisi tulivyofanya. Mlipewa uhuru wenu bure bila kumwaga damu.
 
Don't you ever get tired of lying? Hakuna siku Tanzania itawaishinda Kenya in terms of health.

22% of Kenyans have medical coverage but only 16% of Tanzanians are covered.

View attachment 2170020View attachment 2170021
Mtajiconsole tu kwenye vidata na vijarida uchwara lakini kwa ground kunyaland ni takataka

2nd hospital to do bonemarrow transplant huku kunyaland haijawahi kusikia wala kuona kitu kama hicho 😅😅😅

Screenshot_20220331-140355.png
 
Back
Top Bottom