Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiongozi tuwe realistic duniani kote vitu vimepanda bei baada ya demand kuongezeka post covid we expected things to normalise soon after but the Ukrainian war imeharibu Europe is reeling on hyper inflation as we speak sembuse sisi.
tatizo linatakiwa litatuliwe na sio kiushi nalo
maza anarundika matatizo af anasema tuambiwe
watu wanataka solution tnatokaje hapa?
aache uvivu yeye ni raisi !!
 
nairobi still ranks higher than dar in terms of cities with the high concentration of highrise buildings in africa (cairo: n/a)
1. jozi 12skyscrapers+296highrises
2.lagos 1skyscraper+144highrises
3.nairobi 3skyscrapers+124highrises
4.dar 3skyscrapers+98highrises
5.addis...
 
nairobi still ranks higher than dar with cities with highest concentration of highrise buildings in africa (excluding cairo)
1. jorburg 12skyscrapers+296highrises
2.lagos 1skyscraper+144highrises
3.nairobi 3skyscrapers+124highrises
4.dar 3skyscrapers+98highrises
5.addis... ??
Unaandika kwa kujisifu huku umejikunyata hapo kibra; unadhani sikuoni?
 
Kiongozi tuwe realistic duniani kote vitu vimepanda bei baada ya demand kuongezeka post covid we expected things to normalise soon after but the Ukrainian war imeharibu Europe is reeling on hyper inflation as we speak sembuse sisi.
Unadhani hawajui.. ni swala la mapenzi tu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi sasa kuna magari yaliyopita miaka inayoruhusiwa kuingia nchini yanaingia na inakuwa ngumu kwa vile ukaguzi unafanyika nchini na si yanapotoka! Na yanasababisha mlundikano bandarini!
Ukaguzi gani wa gari unaochukua muda mrefu? Kufanya emission/smog test ni dakika chache tuu na Vin number check nayo ni sekude tuu unapata jibu. Kuna watu huwa tunapenda kuwa na collection ya magari fulani ya zamani, sasa kuzuia kuingiza huoni hapo unatubagua watu wenye hobby zetu?
According to bibi hakuna haja ya kukagua magari wakati hatutengenezi sisi, sasa ilo shirika la tbs wanini asilifute ukaguzi wote ufanyike hukohuko sababu hatuna haja ya kukagua tusivyo tengeneza?
Tuliwahi kuletewa bia za stella artois, watu walizibugua kama hawana akili nzuri, kumbe zilikuwa expired.
 
Ukaguzi gani wa gari unaochukua muda mrefu? Kufanya emission/smog test ni dakika chache tuu na Vin number check nayo ni sekude tuu unapata jibu. Kuna watu huwa tunapenda kuwa na collection ya magari fulani ya zamani, sasa kuzuia kuingiza huoni hapo unatubagua watu wenye hobby zetu?

Tuliwahi kuletewa bia za stella artois, watu walizibugua kama hawana akili nzuri, kumbe zilikuwa expired.
Tanzania si dampo la magari kuukuu! nenda Nigeria na Ghana uone madhara ya magari kuukuu!
 
Wacha kutafuta visingizio, Magaidi wa Mozambique wanapigwa na nchi zaidi ya 5 ikiwemo South Africa, Rwanda, Zimbabwe na Msumbiji, bado hawajatokomezwa.

Kumbuka Tanzania tulipakana na utawala wa Wareno, wenye nguvu kubwa za kijeshi, TPDF walikua wakipambana nao Uso kwa Uso kwa zaidi ya miaka 10, hatimae tuliibuka washindi, kwa kipindi chote hicho cha mapigano, bado Tanzania iliendelea kubaki salama kutokana na uimara wa Jeshi letu
Na pia Kaburu alikuwa anafika mpska mozambique na malawi lakini tuliwadhibiti wote
 
Back
Top Bottom