



aa wapi..!? dar kulikoni.??
nb: leo tunaonana ana kwa ana View attachment 2169307
View attachment 2169308westlands pekee ndo cbd yote ya darView attachment 2169321





..mtoto yake nepiii..picha yangu was taken far away compare to that shit pc but men see how your pcha whyped
Nani kasema,serikali ya mama ndio ilizuia utaratibu wa kukagua magari nje ikawapa tbs na kuongeza mapato sasa ukisema wanarudisha tena husomeki.mama anarudisha utaratibu wa gari kukaguliwe nje na sio nchini.. huku ni kuua ajira na kuua ujuzi
Danganya wasio kajua kaushuz nairobaryaa wapi..!? dar kulikoni.??
nb: leo tunaonana ana kwa ana View attachment 2169307
View attachment 2169308westlands pekee ndo cbd yote ya darView attachment 2169321
Tangia nyanya yako alipo jua ww ni hamnazohebu... eti unasema 'kurudi LDC' kwani tangia lini tanganyika ika graduate from ldc
Bei inapangwa na soko,uzidishe bei kwani una monopoly ya Soko? Mbona alisema kwenye hotuba na hii ni mara ya pili anarudia ,walanguzi wamepandisha nini?Eti anaongea kabisa vitu vitapanda bei, nauli zitapanda na kawaambia mawaziri na wabunge wawaambie wananchi hilo, ss hapo c ndio anawapa ruhusa walanguzi wazidishe bei mara dufu. Ni sawa unaenda kwa machinga alafu kabla hajakupa bei unaanza kumwambia "hivi hii suruali huwezi kuniuzia kwa shilingi elfu 50" ss hapo hata kama ilikuwa inauzwa elfu 10 unategemea nn hapo.
Uongozi huu ni dhaifu kuwahi kutokea Tz na ndiyo maana wamebaki kuongea ongea tu tutajenga hiki, tutajenga kile, lkn ukweli ni kwamba hakuna wanachojenga zaidi ya kuendeleza yale yale ya awamu ya tano na tena wanaendeleza kwa kusua sua licha ya kuweka matozo na kukopa kopa bila akili.
Tusimlaumu sn hajui kitu maskini ya Mungu.Me nawaambia huyu angekua kipindi cha uviko ndio inaingia tungeshuhudia mengi, anyway siasa za bongo nilishaachana nazo sababu ni full stress!
Makamba anahujumu huu mradi ili ufeli aendelee kupiga pesa.Ama kweli wendawazimu wapo mamlakani!
Kuna viwanja vya michezo Dodoma na barabara ya Pwani to Mtwara ilitakiwa ijengwe kimkataba sababu ya mtiririko mzuri wa certificates payment from client, sasa naona kona zinapigwa hapa, uzuri wanajua waliopo sasa wanawamudu!
Nzambi Matee ni jina la Congo hilo.
Mkuu apa naomba nichangie kdgo, kwa sasa sio swala la zama mbili tofaut, uongozi ulio fail kukotrol market kabisa ivi umenda kuangalia gharama za vitu recently, kama hujui watu wanalalamik bila kujali ni zama gni hali ni mbaya sanaJapo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.
2025 ni mbayaaa sanaaa...sabab haitakuw ugonvi wa vyama , bali wananchi na serikaliJapo huwa sipendi kucomment kwenye siasa lakini inabidi tukubali tuu kila zama na kitabu chake hatuwezi kufikiria sawa wote hapo nyuma kulikuwa na #hapa kazi tuu watu wakafurahia na wengine wakanuna sasa ni zamu ya #mama anaupiga mwingi wale waliokuwa wamenuna wanafurahia na wale waliokuwa wamefurahia kwenye #hapa kazi tuu ni zamu yao kununa huo ndio ukweli and that's life. Ukiangalia a typical graph haiwezi kuwa smooth hata siku moja has ups and down huo ndio ukweli hata kwenye maisha ni hivyo hivyo.
Mtaje wewe wa kugombea na mama ,hakuna kima wa kutoa pua znarudia hayupo na Samia yuko hadi 2030 akiwa mzima.Hii nchi kama huyu mama ataendelea kuwepo ofisini 2025 basi nitaamini ni nchi ya giza kabisa inayofaa kurudi LDC.
Sikatai lakini global norms kwenye shipping industry ndio ina dictate pre shipment inspection. Hata hivyo serikali inapaswa iangalie a bigger picture kwenye ajira za vijana including kuwafanya wakopesheke hii ndio itakuwa suluhisho sahihi kwa ajira za vijana.it’s not about #HapaKaziTu or #AnaupigaMwingi.. it’s all about Tanzania development.. mfano hio ya vehicle inspection haitendei haki Tanzania hasa ukiangalia vitu kama ajira kwa vijana wa kiTanzania
Ama kweli wendawazimu wapo mamlakani!
Kuna viwanja vya michezo Dodoma na barabara ya Pwani to Mtwara ilitakiwa ijengwe kimkataba sababu ya mtiririko mzuri wa certificates payment from client, sasa naona kona zinapigwa hapa, uzuri wanajua waliopo sasa wanawamudu!





bibi kaziniKwani kuna sehemu nimeku quote? Mbn unajirahisisha kwa wanaume namna hii? Wewe endelea na mabasha wengine kwangu umenoa.Mtaje wewe wa kugombea na mama ,hakuna kima wa kutoa pua znarudia hayupo na Samia yuko hadi 2030 akiwa mzima.
Hope fool unapa kila kitu toka ikuluuMtaje wewe wa kugombea na mama ,hakuna kima wa kutoa pua znarudia hayupo na Samia yuko hadi 2030 akiwa mzima.
Lugha za kike kama sura yako,eti kwangu umenoa 😂😂😂,fala kweli wewe,for your information hakuna kitu utafanya.Kwani kuna sehemu nimeku quote? Mbn unajirahisisha kwa wanaume namna hii? Wewe endelea na mabasha wengine kwangu umenoa.