Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haipendezi kwako wewe usiye na exposure ! Huwezi ukatoa project mahali prime land penye sports cultural roots ukapeleka say Mwenge! kwani wewe ni genius kuliko city planners walio-designate pale pawe na sport complexes? Nimekuuliza Mwenge wapi wajenge? Hujajijbu! BTW nimetaja games nyingi si olympic tu, kuna hata All African games Kenya wali-host kipindi cha nyuma na ukienda Kasarani stadium utaona sehemu yao kwa ukubwa ni kama Taifa!
Hao city planners ndo washenz namba moja hpa tz[emoji28]
 
Africa ina watu 1.2 billion. Nigeria ina watu zaidi ya 200 million. Kati ya kila Waafrika sita, mmoja wao ni Mnigeria. Hawa watu kwa kupigana miti wanastahili kupewa kikombe.
Nigeria pia ni kubwa lkn nyie kanchi kenu ni kadogo na mko over 50mil ss, mko vzr sana kwa kupigana para.
 
waapi? Hata watu milioni hamsini hatujafika. Kwa mujibu wa official data ya KNBS Kenya ina watu 49 million. Huku TZ ikiwa na watu 60 milion. Sasa ni watu gani wanapigana pumbu na kuzaliana hovyo? Sisi waafrika tungepunguza kasi ya kuzaliana basi hata gdp per capita ingeongezeka, kwa maana gdp per capita hutegemea idadi ya watu. Rwanda na size yake ndogo ina watu 10 million huku Norway ambayo ni kubwa ina watu 5 million pekee.
Ss hapo kati ya wakenya na watz wepi wanapigana sn mikasi? Do your maths properly.
 
Tony. 🖐🏽 a point of correction... kenya ni $2,296, na sio $1,900
dyfre I like learning new things. This is the second time you are telling me that Kenya's gdp per capita is $2,296. Please give me the source of your information. I can't just use that figure without evidence. I use $1,900 because that is what I can find on the internet from a verifiable source. So show me your source and I will start using your new figures otherwise, I cannot just use your figures without evidence.
 
Nigeria pia ni kubwa lkn nyie kanchi kenu ni kadogo na mko over 50mil ss, mko vzr sana kwa kupigana para.
Nigeria inatoshana na Tanzania kwa ukubwa ila population yao ni 3.5 times ya Tanzania. Zingatia Tanzania ina watu 60 million na Nigeria ina watu 210 million. Sasa sijui unapinga nini kwamba barani Afrika hawa jamaa ndio wanachukua kikombe kwenye mchezo wa kupigana pumbu? Sisi East Afrika hatujui mchezo huu.
 
Kenya mnazaana mara mbili zaidi ya Tanzania, kumbuka Tanzania eneo letu ni ×2 ya Kenya, lakini kwa idadi ya watu ni tofauti kidogo Sana Kati ya Tanzania na Kenya.

Sababu ingine ambayo ni tatizo kwa Kenya ni chakula na Natural resources ikiwemo maji ya kutosha, Kenya hamna maji Wala chakula cha kutosha, mnapaswa kupunguza kuzaana hadi muhakikishe kwa maji na chakula vinaendana na idadi ya watu
 
America inazidi kuipatia Ukraine silaha mpya. Leo imetangaza kwamba inapeleka silaha worth $800 million huko Ukraine. Ikiwemo 2,000 Javelin ATM. Hizi javelin ndio zimeangamiza tanks nyingi za Russia, pamoja na NLAW ya Britain. Hii vita sioni ikiisha hivi karibuni.

By the time hii war inaisha ukraine itabaki na -GDP
 
Kenya mnazaana mara mbili zaidi ya Tanzania, kumbuka Tanzania eneo letu ni ×2 ya Kenya, lakini kwa idadi ya watu ni tofauti kidogo Sana Kati ya Tanzania na Kenya.

Sababu ingine ambayo ni tatizo kwa Kenya ni chakula na Natural resources ikiwemo maji ya kutosha, Kenya hamna maji Wala chakula cha kutosha, mnapaswa kupunguza kuzaana hadi muhakikishe kwa maji na chakula vinaendana na idadi ya watu
Wakenya wangekuwa na ardhi kama ya Tz halafu uhakika wa maji na chakula ungekuwepo wangefika 120M people
 
Najua ukweli huwa hampendi but that doesn't stop from posting them here[emoji23]

View attachment 2153302
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm sio kipofu, hongera na ushuzi wa makaratasi.....kamaa ulivyo sema hatupo [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
.

Screenshot_20220317-002433_Instagram.jpg
 
Mambo ya Iraq usiyakete kwa Ukraine.
Hii vita inapiganwa ulaya Lakini adhari zake zinakuja afrika na wakikosea inaweza kuwa world war 3.
Kuna mambo mengi yamejificha ndani yake ikiwemo majimbo ya waUkraine warussia kushambuliwa na kuuwawa na jeshi la Ukraine na ukraine kutaka kujiunga nato tofauti na makubaliano ya russia na nato ya awali ya kila Mtu kutomsogelea mwenzake
 
haipendezi kwako wewe usiye na exposure ! Huwezi ukatoa project mahali prime land penye sports cultural roots ukapeleka say Mwenge! kwani wewe ni genius kuliko city planners walio-designate pale pawe na sport complexes? Nimekuuliza Mwenge wapi wajenge? Hujajijbu! BTW nimetaja games nyingi si olympic tu, kuna hata All African games Kenya wali-host kipindi cha nyuma na ukienda Kasarani stadium utaona sehemu yao kwa ukubwa ni kama Taifa!

Wajenge hapo hapo, hilo eneo linahitaji Uwekezaji wa uhakika BRT ikikamilika, hakuna hotel ya maana hapo wakati pembeni tu hapo una Trade Show Grounds (Sabasaba), nakumbuka TANTRADE nao walikuwa na proposal ya kujenga upya viwanja vyao ili kufanya maonesho yetu ya Kibiashara yawe ya kisasa zaidi na kuvutia wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa, proposal ilivyokuja kwa JPM akaipiga chini, sijui alikuwa anafikiria nini yule mzee.

Dar being a commercial and Logisticts hub tulitakiwa tuwe na maonesho kabambe kabisa ya biashara ukanda huu, I appeal to TANTRADE warudi na proposal yao kwa Rais Samia awaruhusu kujenga pale trade show ya kisasa na kutransform kabisa lile eneo kwani sasa miundombinu inasupport kabisa.
 
Hii vita inapiganwa ulaya Lakini adhari zake zinakuja afrika na wakikosea inaweza kuwa world war 3.
Kuna mambo mengi yamejificha ndani yake ikiwemo majimbo ya waUkraine warussia kushambuliwa na kuuwawa na jeshi la Ukraine na ukraine kutaka kujiunga nato tofauti na makubaliano ya russia na nato ya awali ya kila Mtu kutomsogelea mwenzake
Iwe tuu hiyo ww3 Ili tu reshape upya Order ya Dunia..

Haiwezekani watu wawe wanaonea wengine,tuanze upya,mbona wale wa awali walipigana na wakaanza upya.
 
Back
Top Bottom