Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

usiombee vita vya dunia..nuclear winter sio mchezo
Kufa ni kufa muraa,kama sio nuclear utakuta kwa Kansa au ajali.

Haiwezekani watu wawe wanaonea wengine kwa visingizio vya kijinga eti kuhatarisha usalama, yaani Kenya atuchagulie rafiki au Sisi tumpangie Rwanda maisha.

This is nonsense,tuanze upya ku reshape Dunia.
 
Mm nashangaa mtu anasema tunawaitaji wazungu kwa lipi kwa africa Mchina akitudindia kidogo ndio tutaumia lakini sio westerners hajui zama zimebadlika
Mchina hatunufaishi ila sisi ndio tunamnufaisha.Tazama yeye anexport kila kitu Africa lakini nchi za Africa hazina automatic right ya kuingia soko la China.China wa sasa sio kama ilivyokuwa kwa akina Mao,Ze dong et al huyu wa sasa ni capitalist,ukitaka hilo mwulize Russia,Zambia,Zimbabwe etc anatumia slogan ya "Nothing goes for nothing".Africa inapaswa kusimama yenyewe na kufanya biashara yenyewe na pia na mtu yeyote kwa bilatelal Agreements kama tunavyofanyiwa sisi.
 
Yah sure ila sasa viongozi wa AU hawana meno na hatuna umoja
 
Wajenge hapo hapo, hilo eneo linahitaji Uwekezaji wa uhakika BRT ikikamilika, hakuna hotel ya maana hapo wakati pembeni tu hapo una Trade Show Grounds (Sabasaba), nakumbuka TANTRADE nao walikuwa na proposal ya kujenga upya viwanja vyao ili kufanya maonesho yetu ya Kibiashara yawe ya kisasa zaidi na kuvutia wawekezaji na Wafanyabiashara wakubwa, proposal ilivyokuja kwa JPM akaipiga chini, sijui alikuwa anafikiria nini yule mzee.

Dar being a commercial and Logisticts hub tulitakiwa tuwe na maonesho kabambe kabisa ya biashara ukanda huu, I appeal to TANTRADE warudi na proposal yao kwa Rais Samia awaruhusu kujenga pale trade show ya kisasa na kutransform kabisa lile eneo kwani sasa miundombinu inasupport kabisa.
Short minded personality haioni hii maneno! Nakumbuka nilipinga maamuzi ya JPM kuhusu kukataza hotel ya TANTRADE Sabasaba nikashambuliwa humu ndani! Yaani hotel ingesaidia sana hata wanakuja Bandarini. Pia hata EPZ Kurasini inakuja!

Kipindi cha mwendazake ujenzi wa hoteli ulikuwa unaruhusiwa Chato tuu refer hoteli ya TANAPA Chato! Nakumbuka hata mradi wa AICC wa MKICC Arusha ulizuiwa. Saahii Arusha imepoteza umaarufu wake wa ku-host global meetings.
 
Opportunity ya ku export mayai kenya ...na gas pia ..mtungi now Kes 3400
Screenshot_20220317-093338_Twitter.jpg
 
Ikiwa leo ni kumbukizi ya kifo cha Mzee wetu Hayati John Joseph Pombe Magufuli a.k.a Magufuli Day!Tuzidi kumuombea kwa Mungu,mchango wako mkubwa katika Taifa hili la Tanzania hautosahaulika kamwe!🙏🏿🙏🏿🙏🏿.
 
Back
Top Bottom