tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
[emoji16][emoji16][emoji16]sahvi tunawahitaji sana,tunakodi midege mikubwa kuwaita waje wawekeze maana tumeshatumia mbinu kibao bado hatujatoka...Nadhani hiki ndio kipondi6cha kugegotiate good deals tukipigwa tena sahvi tutaendelea kudharaulika daimaFuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu