Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi kosa letu ni uchumi mdogo tungekuana uchumi imara hata tungezaliana tukawa million 100 msiongeongea chochote
Ni kweli idadi ya watu kuwa kubwa sio tatizo ikiwa mna uchumi mkubwa. Angalia China ambayo ina watu 1.3 billion ila ina gni per capita ya $10,000. Huku Tanzania na watu wake 60 million ina gni per capita ya $1,100. Yaani hio ina maana kuwa China pamoja na kuwa na watu wengi kushinda bara nzima la Africa, kila mchina anapokea kwa mwaka income (mapato) mara kumi ya kila mtanzania. Kenya ina gni per capita ya $1,900 kwa hivyo mchina mmoja anapokea kwa mwaka income (mapato) mara tano ya kila mkenya. Afrika sijui tulifeli wapi. Sijui tulimkosea Mungu wapi. Wachina ni wengi sana kama siafu ila pia kimapato wametushinda kwa mbali. Hata nchi tajiri tajiri za Afrika kama South Afrika na Egypt haziwafikii wachina kwenye per capita income. Unakuta nchi mbili ndogo za Afrika ndio zinaweza kukimbizana na China kwenye gni per capita yaani Mauritius na Seychelles.
 
Anaringia mafuta na wafalme wa Saudi wanajua wamarekani hawawezi kuwaacha maana wakiondoka hao watakuja hardliners ambao watakuwa sio rafiki na marekani na kupelekea marekani kukosa supply ya mafuta toka Saudi na government papers za marekani zitadoda maana saudi ndie mnunuzi mkubwa wa hizi karatasi za serikali ya marekani
Marekani na Saudia wanategemeana. Hakuna anayeweza kuishi bila mwenzake. Marekani anaprotect hio dynasty ya King Salman na Saudia nayo inanunua silaha za marekani kwa wingi. Saudia pia inanunua treasury bills and bonds za marekani. Pia Saudia inapokea malipo ya mafuta kupitia dola pekee, haikubali malipo kupitia currency yoyote isipokuwa dola. Wanategemeana. Unakumbuka ule wakati Iran kupitia Houthis ilivurumisha makombora mazito kwenye oil refineries za Saudi Arabia? Saudi Arabia ilikimbilia Marekani na kuiomba msaada. Marekani ilileta patriot missile system ambayo ndio sasa inatumika kukinga oil refineries za Saudia from drones na missiles za Houthis. Houthis siku hizi wanarusha missiles lakini hazifiki kwa maana zinatumbuliwa zikiwa angani. Hii patriot missile system ndio Marekani imepatia Israel na Israel inaitumia kutumbua missiles za Wapalestina. Marekani anategemewa sana kiulinzi na nchi hizi. Hata UAE juzi amerushiwa makombora na Houthis, UAE akaomba msaada kutoka kwa Marekani na marekani ameweka missile system UAE tayari kutumbua missiles za Houthis zinazorushwa UAE. Ni ujinga nchi hizi kujifanya kwamba haziitegemei marekani wakati wakipigwa kidogo tu na Houthis au Iran au Wapalestina, nchi hizi za kiarabu zinakimbilia marekani kuomba msaada wa ulinzi. Ni kama mtoto wako anayejifanya kwamba hakuhitaji lakini akipata shida kidogo tu anakukimbilia wewe.
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
Fuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu
 
Mimi tu nawaomba msione India na China nchi kubwa
duniani zenye gdp top 10 duniani kwa ukubwa zinakaidi Marekani kisha nyie kanchi kadogo kenye gdp chini ya $100 billion mkadhani mnaweza kupimana uzito wa pumbu kwenye ratili na Marekani. Jaribuni kumtunishia Marekani kifua muone kitakachowapata. Tabia hii yenu mbaya ya kujiona mnaweza kupigana na wazungu ndio imefanya mkakosa investors na muwe na uchumi mdogo na umasikini mwingi. Wacheni kuwa anti-west. Wao wazungu ndio owners of capital katika hii dunia. Hata China kampuni nyingi zinamilikiwa na Wazungu, vivyo hivyo Russia. Mafuta na gesi ya Russia inategemea technology na financing kwa asilimia kubwa kutoka kwa wazungu. Akina Total, Shell, Exon Mobil, BP na Eni ndizo zimewekeza sana kule Russia. Hata kampuni za serikali akina Gazprom, Lukoil na Rosneft bado zinaomba loans kutoka kwa benki za Wazungu. BP na Shell zimewekeza vikubwa Russia ikiwemo kuleta new technology. Russia yenyewe inategemea new technology in oil and gas sector kutoka kwa Wazungu. Experts wengi sana wanaotokea Europe na Marekani wapo Russia kufanya kazi.
Ni kuwadi kama Kunyaland haiwezi kutushauri! Mlishawahi kuvunja uhusiano kufunga ubalozi wa China kwa amri ya mabwana zenu the West! leo hii Mchina anawatia vidole kama hana akili nzuri!

Day Kenya Expelled Chinese Ambassador and Shut Down Embassy​


By Eddy Mwanza on 10 June 2019 - 4:26 pm
image_showing_a_section_of_the_chinese_embassy_nairobi_kenya.jpg



Kenya's current number one partner and investor, China, has had a hand in local affairs ever since the country attained independence.

However, relations weren't always as amicable with tension culminating into a tipping point barely three years after independence.

Mzee Jomo Kenyatta suspected that the communist-based nation, alongside Russia, was conspiring behind closed doors with his former deputy-turned-rival, Jaramogi Oginga Odinga, to oust him.

jaramogi_oginga_odinga_left_and_mzee_jomo_kenyatta_during_a_briefing_in_nairobi.jpg

The US first ambassador to Kenya, William Attwood, in his book The Reds and the Blacks maintained that the two communist nations backed Odinga after Kenyatta was rumoured to be turning sterile.

They saw the charismatic leader with a gift for pulling mammoth crowds as the automatic successor once Kenyatta was deemed unfit to rule the nation.

Their sinister plans made their way to Kenyatta's desk prompting him to embark on a mission to root out all conspirators starting with the expulsion of the third secretary in the Chinese embassy, Yao Chun in March 1966.

“The first indication I had from Kenyatta that he didn’t trust Jaramogi was in mid-June when he called me over to discuss outside financing of Kenya’s politicians. What about Odinga’s subsidies from the Chinese and Russians? I know about them,” an excerpt of the book disclosed.

Mzee Jomo's paranoia was fueled even further on May 17, 1967, when a convoy of 40 trucks loaded with Chinese weapons was intercepted by Kenyan police after they crashed through a roadblock at night in Western Kenya.

This was the final straw and Kenyatta duly evicted six Chinese and Russian diplomats and a couple of journalists posted to Nairobi from the communist bloc countries were ordered out of the country.

Reports by Attwood further divulged that Odinga’s slush fund for the upcoming election was estimated to be more than Ksh15,000,000, much of it in green dollars provided by the Chinese embassy in Dar es Salaam.

It is after learning this that Mzee Jomo then went ahead and ordered for the immediate closure of the Chinese embassy in Kenya on June 1967.

jomo_kenyatta_r_greets_jaramogi_oginga_odinga.jpg

weapon crash suspect

 
Development and usage of nuclear power/weapons show how much the human mind can achieve. As we become an interplanetary species living in Mars, I would love to see humans develop better methods of generating immense power to achieve inter galactic travel even if not in our lifetime.
Well isn't that ironic? We're in the atomic age, and the same advancements could potentially wipe out our species before we even get the chance to conquer the solar system, let alone Mars.
 
Back
Top Bottom