Kama huku pia..Ikiwa imepita mwaka mmoja tangu rais wetu mpendwa JPM kututoka, jukwaa letu hili limepoa sana kwa kweli.
Hapana ilikuwa demo yaani alikuwa kaomba kazi na mara nyingi kwenye utangazaji unatuma demo yaani clip ukionyesha jinsi unavyotangaza! Ila sorry huyu jamaa level zake ni coverage za "uzalendo insinuation" si BBC! Maana sioni journalism competence in him ni mtu wa mapambio sana katika kazi yake sioni criticism kabisaa na ata-fit vizuri kampeni zijazo za mama!Huyu Ben niliona video yake moja akiwa BBC nikajua alienda huko.
Without food, water, better health care system and shelter, you want to compare with Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23]Kenya is 100× better than Tz. Ask yourself why 8.5M customers are connected to electricity in Kenya while only 2.7M customers in Tanzania are connected to electricity.
Wapi huku tunakwenda?hehe
Wapi huku tunakwenda?
Oya Geza sio kila kitu kwako kiwe personal. Vitu vingine unahitaji tu ku sympathies na kujibu kwa hekima. Tunajua you pretty much “understand” everything and how to execute them but sometimes U just have to chill and let things slide. Not that I’m telling u what to do. Na Ombi la kujengwa kwa hilo sanamu it doesn’t mean other social service hazi itajiki au havina umuimu but it’s the MOMENT at which the proposal ime come up.waache uzembe wachaguwe dawa hospitalini au sanamu? Wanashindwa nn kujichangisha wakajenga wenyewe? nani kawakataza? Au waiite ile hospitali jina la Magufuli! Ni bora hata wangeomba maktaba ya Kumbukizi yake kwa ajili ya matumizi ya jamii!
Serikali kazi yake si kujenga sanamu! Waache upuuzi! Sanamu si public facility! Hapana hapa napinga! Kuna njia bora za kumuenzi!Oya Geza sio kila kitu kwako kiwe personal. Vitu vingine unahitaji tu ku sympathies na kujibu kwa hekima. Tunajua you pretty much “understand” everything and how to execute them but sometimes U just have to chill and let things slide. Not that I’m telling u what to do. Na Ombi la kujengwa kwa hilo sanamu it doesn’t mean other social service hazi itajiki au havina umuimu but it’s the MOMENT at which the proposal ime come up.