Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

America inazidi kuipatia Ukraine silaha mpya. Leo imetangaza kwamba inapeleka silaha worth $800 million huko Ukraine. Ikiwemo 2,000 Javelin ATM. Hizi javelin ndio zimeangamiza tanks nyingi za Russia, pamoja na NLAW ya Britain. Hii vita sioni ikiisha hivi karibuni.

jipe matumaini tu 😂😂😂😂
 
Teargas ww sindio ulisema huu mradi haujengwi tena 🤣🤣🤣🤣

4103E9F2-1822-4E2B-92D0-753F598CAF0D.jpeg
317BB689-C401-4D46-9804-2209417F4287.jpeg
F9D1C139-9164-4854-8455-67A2991C664C.jpeg
48504E4D-F168-4471-84E3-2E401BD14C15.jpeg
 
Well isn't that ironic? We're in the atomic age, and the same advancements could potentially wipe out our species before we even get the chance to conquer the solar system, let alone Mars.
We cannot refuse to develop immense power systems due to fear of wiping ourselves out
 
Mjuaji au facts? nipe economic benefit ya kujenga sehemu tofauti kama Mabwepande kusipo na barabara na connection nzuri na say JNIA (inayoenda kujengwa hotel)! Na kama Olympic committees zinahimiza olympic villages je wewe ushauri wako huoni hauko sustainable?

afadhar umeuliza, mana mwanzo nilitaka niseme ila nikakausha... afu sijasema mabwepande..

- ishu ya security: events zikifanyika sehem zote mbili wakat mmoja afu vurugu ikitokea huoni kuna hatari? mabomu je? watu watakaa kwa aman hapo?
-ishu ya umeme: hapo zipo eneo moja so the line ya umeme is same, umeme ukikatika wote watakosa umeme. utasema majenera yapo
-ishu ya folen: utaleta folen zisizo na sababu ya msingi kwa kukusanya watu/magar mengi sehem moja.. wakat huohuo serikali eti inataka kupunguza folen jijin Dar
-kueneza mji: kuweka hizo big infrastructures sehem moja unakosesha kuuneza maji, inabid hata watu wengine mfano mwenge, au hata pale ubungo maji wafarijike mtaan kwao kuna indoor arena
-unakosesha watu wengine kwenye ishu za biashara.. wafanyabiashara wa eneo hilo tu ndo watafaidika.. what if ukajenga mfano mbezi au ubungo maji au mwenge, kuna namna wafanyabiashara watawekeza huko na kulipa kodi (unaongeza kodi).. etc
  • umeongea ishu ya brt au barabara, mwenge brt itakuwepo, ubungo morogoro rd yote ina brt, hata huko tegeta brt itakuwepo.. sio lazima huku tu.. hata huko mbagala au sijui gongolamboto kunafaa ambapo brt itakuwepo pia, lkn sio kuweka sehem moja hapo Taifa
  • na mengine mengi tu wengine wanaweza kuongeza

na hapo taifa pemben ningeona ni jema kama wangejenga viwanja vidogo vidogo .. training pitches
 
Kwahiyo wanachofanya walio-host events like Olympics, Commonwealth games, All African Games hawakuona ur narrow inward thinking wakaamua kuwa na Olympic villages in the sense that sport events-facilities r in close proximity? Unaishi dunia ipi? Unakosesha mapato? Mbona wa Temeke hawajaleta siasa zako za mfarakano dhidi ya project ya Ubungo business complex ya Mchina? Temeke hawataki facilities sio? BTW Mwenge wapi kunatosha Indoor Arena? Wacha ujuaji mzee!

Mimi nimeomba economic benefits wewe unaniambia security na foleni as if Mwenge hamna foleni! BTW connection to airport is already improved with Mfugale overpass n now Uhasibu n Chang'ombe r coming up!
 
Kwahiyo wanachofanya walio-host events like Olympics, Commonwealth games hawakuona ur narrow inward thinking wakaamua kuwa na Olympic villages? Unaishi dunia ipi? BTW Mwenge wapi kunatosha Indoor Arena?

i’m narrow inward thinking and yet you expect me to answer your excellent questions? magenius bana
 
i’m narrow inward thinking and yet you expect me to answer your excellent questions? magenius bana
nipe mfano wa Olympic village ina arena, aquahouse na stadium apart! Hawa wana infrastructure bora kuliko sisi! huwezi ku-host games na ku-operate na ku-manage sport events ukiwa na facilities ziko apart, it will be damn costly! Na kama tunataka kuja ku-host CAF basi ni bora fedha tunazoenda ku-compensate watu Mwenge tukaangalia namna ya kuanzisha project nyingine ya ujenzi wa uwanja!

Beijing2_website-1800x1173.jpg
 
Hii vita ni russia v Ukraine Lakini ukraine anapata Msaada mkubwa sana wa silaha , ela, upelelezi kutoka usa,uk, Europe

Wale wale waliosema Iraq kuna silaha za maangamizi Ndio wameanzisha huu uchokozi wa vita.
Ni wale matajiri wa viwanda vya silaha, matajiri wa viwanda mbalimbali ikiwemo mbole, mafuta, gesi na wakulima wa ngano nk

Uchumi wa dunia utayumba !
Mambo ya Iraq usiyakete kwa Ukraine.
 
Ukraine nao pia wana vichwa ngumu. Russia imewaambia kwamba wakikubali kuwa neutral state kama Sweden au Austria kwamba Russia atawacha mashambulizi na kuondoka nchini humo lakini Ukraine wamekataa offer hiyo. Ni kama wanataka kuendelea kupigwa. Mimi naona hii offer ya Russia ni reasonable na Ukraine wangekubali kuwa neutral ili kipigo kiishe.

Wawe neutral afu wapate nini mbadala? Ukraine ni Nchi kubwa sio sawa na hivyo Vinchi ulivyotaja havijiwezi kijeshi.

Yaani uuze uhuru kwa Wahuni? Haipo hiyo,mshindi apatikane vitani.
 
Fuatilia historia ya Tanzania vizuri, tuliwavimbia wazungu hadi tukawafukuza na kufunga balozi zao miaka ya 60s & 70s, walijaribu kututenga kibiashara lakini tulifanikiwa kuvuka hiyo hali kwa support ya China, Russia na Cuba, Leo hii Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Sana hapa Afrika zenye uchumi unaokua kwa Kasi kubwa, Amani, umoja na mshikamano, Kamwe usitutishe Wala kutuelekeza lolote kuhusu "International relation", Kenya ni vibaraka wa wazungu
Nakumbuka tulikuwa tunaruhusiwa kwenda nchi zote duniani kasoro West Germany, South Korea and Israel kisa hawataki tuwe marafiki na wabaya wao kama Palestinian Authority, East Germany and North Korea tena tuliwaambia hamuwezi kutuchagulia marafiki kama hamtaki chapeni mwendo.
 
Back
Top Bottom