Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wacha ushamba ,drainage ipo chini kwa chiniHawa wakiongea utadhani wametoka Europe [emoji28][emoji28]
Mna complain poor drainage when you don't have drainage at all...View attachment 2152858View attachment 2152859View attachment 2152860View attachment 2152861
sasa hao waarabu si ndiyo vibonde kwa marekani huwa anawavamia anawapa kichapo na anachukua na mafuta,Asante. Natumai Lusematic na Fundi kitasa mumepata masomo kutoka kwa Mtanzania mwenzenu kwamba Waarabu wanawategemea mabeberu hususan USA na UK kwa sector ya ulinzi.
huyo mshamba hajui kuwa mifereji ipo chini kwa chinimbona unachukua picha ikiwa inajengwa? still better quality than anthing in Kunyaland!
mambo mqgumu vita siyo vizuriHii vita ni russia v Ukraine Lakini ukraine anapata Msaada mkubwa sana wa silaha , ela, upelelezi kutoka usa,uk, Europe
Wale wale waliosema Iraq kuna silaha za maangamizi Ndio wameanzisha huu uchokozi wa vita.
Ni wale matajiri wa viwanda vya silaha, matajiri wa viwanda mbalimbali ikiwemo mbole, mafuta, gesi na wakulima wa ngano nk
Uchumi wa dunia utayumba !
Ninyi pamoja na jangwa lenu na ufukara uliowajaa kiasi cha kufa njaa kila siku bado mnaongezekaAfrica ina watu 1.2 billion. Nigeria ina watu zaidi ya 200 million. Kati ya kila Waafrika sita, mmoja wao ni Mnigeria. Hawa watu kwa kupigana miti wanastahili kupewa kikombe.
Usitake wote tukubali kujiona duni kama wewe unavyojiona. Unalishwa matango pori na wewe unabugia tu.Watu kama wewe ndio Sumu ya maendeleo ya nchi hii,unafikiri kila mahali ni pakufanyia siasa ,hapa jf esp kwenye hii kenyans section unaweza mdanganya nani? Niletee takwimu yoyote unayo generalize tz imeizidi kenya either kwa GDP, gdp per capita,Human development index,literacy rate,life expectancy bring if any
Hahaha. Hii ya Kenya kuikaribia Morocco kwa gdp naona imekuuma sana? 😂🤣Tumezidiwa kwa lipi mzee we unajuakenya na moroco wana gdp almost same ila ukienda kwa ground ni mbingu na ardhi
waapi? Hata watu milioni hamsini hatujafika. Kwa mujibu wa official data ya KNBS Kenya ina watu 49 million. Huku TZ ikiwa na watu 60 milion. Sasa ni watu gani wanapigana pumbu na kuzaliana hovyo? Sisi waafrika tungepunguza kasi ya kuzaliana basi hata gdp per capita ingeongezeka, kwa maana gdp per capita hutegemea idadi ya watu. Rwanda na size yake ndogo ina watu 10 million huku Norway ambayo ni kubwa ina watu 5 million pekee.Ninyi pamoja na jangwa lenu na ufukara uliowajaa kiasi cha kufa njaa kila siku bado mnaongezeka
Sisi kosa letu ni uchumi mdogo tungekuana uchumi imara hata tungezaliana tukawa million 100 msiongeongea chochotewaapi? Hata watu milioni hamsini hatujafika. Kwa mujibu wa official data ya KNBS Kenya ina watu 49 million. Huku TZ ikiwa na watu 60 milion. Sasa ni watu gani wanapigana pumbu na kuzaliana hovyo?
Dodoma Arena 15k seaters kwa maana ya seaters [emoji3]Dah hivi GDP hii inawezaje kuthubutu yote haya . Wazee wa GDP mpooo!!!!View attachment 2152775
Hakuna "feelings" hapo.Unaleta feelings hadi kwenye mambo ya uchumi we vp bana
Kwa wenyeji wa morogoro kutoka hapo station hadi Msamvu panaurefu ganiTanzania ni baba lao East Africa nzima
View attachment 2153045
View attachment 2153046
View attachment 2153047
View attachment 2153048
Kwa wenyeji wa morogoro kutoka hapo station hadi Msamvu panaurefu gani
Sports complex si inajengwa Tanga na pia KigamboniKuhusu sport complex sifahamu nikidhani ata kwenye ilani haipo
Okey...nmekusoma..tunasubiri vyuma vije tuvitestless than 2 or 3 km.. ni majiran.. ukiwa juu ya msamvu bus terminal, unaweza kuona hii train station
Anaringia mafuta na wafalme wa Saudi wanajua wamarekani hawawezi kuwaacha maana wakiondoka hao watakuja hardliners ambao watakuwa sio rafiki na marekani na kupelekea marekani kukosa supply ya mafuta toka Saudi na government papers za marekani zitadoda maana saudi ndie mnunuzi mkubwa wa hizi karatasi za serikali ya marekaniTatizo ni ka-crown King ni kajeuri na amini akiharibu uhusiano na marekani Saudi Arabia amekwishwa ile Kingdom imadumu mpaka sasa kwa hisani ya first the UK then the US! Tangu mauaji ya kashoggi Turkey mahusiano ni ya kuvimbiana ila ile siku Marekani anaondoa manowari zake Riyadh dola inadondoka!
Okey...nmekusoma..tunasubiri vyuma vije tuvitest
Saba sio haba..hio namba nimekosea lkn sio mbali sana [emoji16].. huwa napita mara nying hapo na gari, kumbe gari linanidang’anya.. ila huwa naonaga ni pafupi sana kama 2km hiv
View attachment 2153073