Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha. Sijui kama watarudi baada ya Kiboko hichi. Kwenye infrastructure wapo karibu mwisho huko. Pole yao. Utasikia wanasema kwamba hii data imepikwa.
Hawa nimezoea. Wanapiga hadi data za serikali yao, WB, IMF, Knight Frank etc😂😂.
 
Ukraine nao pia wana vichwa ngumu. Russia imewaambia kwamba wakikubali kuwa neutral state kama Sweden au Austria kwamba Russia atawacha mashambulizi na kuondoka nchini humo lakini Ukraine wamekataa offer hiyo. Ni kama wanataka kuendelea kupigwa. Mimi naona hii offer ya Russia ni reasonable na Ukraine wangekubali kuwa neutral ili kipigo kiishe.

Hahaha. Sijui kama watarudi baada ya Kiboko hichi. Kwenye infrastructure wapo karibu mwisho huko. Pole yao. Utasikia wanasema kwamba hii data imepikwa.
Kuna tofauti kati ya quality na quantity....
Tanzania tunajichelewesha wenyewe sababu kila kitu tunachakachua ni as if kuna mtu tunamkomoa
Screenshot_20220316-153957_Samsung%20Internet.jpg
 
Ukraine nao pia wana vichwa ngumu. Russia imewaambia kwamba wakikubali kuwa neutral state kama Sweden au Austria kwamba Russia atawacha mashambulizi na kuondoka nchini humo lakini Ukraine wamekataa offer hiyo. Ni kama wanataka kuendelea kupigwa. Mimi naona hii offer ya Russia ni reasonable na Ukraine wangekubali kuwa neutral ili kipigo kiishe.

General mstaafu wa US ashasema anachofanya Rais wa Ukraine ni ujinga! Sasa kama Sweden na utajiri wake woote yupo neutral Ukraine inajiamini nini kudindia Russia?
 
Africa ina watu 1.2 billion. Nigeria ina watu zaidi ya 200 million. Kati ya kila Waafrika sita, mmoja wao ni Mnigeria. Hawa watu kwa kupigana miti wanastahili kupewa kikombe.
 
Unadhani Saudi Arabia ananunua jet kutoka Uchina au Urusi? Fanya Research yako. UAE amenunua F35 kutoka Marekani. Saudi Arabia ana F16 kutoka Marekani. Fanya research yako. Kuna maelfu ya wanajeshi wa Marekani ambao wapo Saudi Arabia kufanya mafunzo na majeshi wa Saudi Arabia. Marekani ina airbase kubwa sana Qatar. Marekani ina military base kubwa sana Turkey. Fanya Research yako.
Kwani kununua ndege ndo inaamanisha kwamba wao ni allies mbona china wanafanya biashara na mmarekani toka kitambo ila hawana urafiki wowote alafu Ndio the biggest trading partner wa marekani
 
Ukimwita mtu yeyote smart atakuambia that BRT road is way better planned from more number of lanes to wider service road aside pedestrian lanes! Where's that Mombasa road is a shoddy work some patches have been plastered some have not!
Were we not talking about drainage you goal shifter? 😅😅
 
Back
Top Bottom