Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nipe mfano wa Olympic village ina arena, aquahouse na stadium apart! Hawa wana infrastructure bora kuliko sisi! huwezi ku-host games na ku-operate events ukiwa na facilities ziko apart, it will be damn costly!




olympicgreen.jpg


kubali kuwa inaweza kujengwa sehem nyingine, sio lazima hapo na wala haipendezi.. kama lengo ni olympics games, kwanza hio sehem haitoshi.. watakuwa wanaforce tu.. wanaweza kujenga hata dodoma, dodoma land is still largely empty, they can plan and design it for olympics games, yan wanaweza kuweka hata swimming pool/aquatic dodoma , hapo kwa Dar ishu ya olympics hapatoshi .. bado ishu ya parkings.. najua unadefend kwa upeo wa kuweka olympics lkn kwa olympics Dar hapo hapatoshi
 
kubali kuwa inaweza kujengwa sehem nyingine, sio lazima hapo na wala haipendezi.. kama lengo ni olympics games, kwanza hio sehem haitoshi.. watakuwa wanaforce tu.. wanaweza kujenga hata dodoma, dodoma land is still largely empty, they can plan and design it for olympics games, yan wanaweza kuweka hata swimming pool dodoma , hapo kwa Dar ishu ya olympics hapatoshi .. najua unadefend kwa upeo wa kuweka olympics lkn hapatoshi
haipendezi kwako wewe usiye na exposure ! Huwezi ukatoa project mahali prime land penye sports cultural roots ukapeleka say Mwenge! kwani wewe ni genius kuliko city planners walio-designate pale pawe na sport complexes? Nimekuuliza Mwenge wapi wajenge? Hujajijbu! BTW nimetaja games nyingi si olympic tu, kuna hata All African games Kenya wali-host kipindi cha nyuma na ukienda Kasarani stadium utaona sehemu yao kwa ukubwa ni kama Taifa!
 
America inazidi kuipatia Ukraine silaha mpya. Leo imetangaza kwamba inapeleka silaha worth $800 million huko Ukraine. Ikiwemo 2,000 Javelin ATM. Hizi javelin ndio zimeangamiza tanks nyingi za Russia, pamoja na NLAW ya Britain. Hii vita sioni ikiisha hivi karibuni.



Wapeleke ndege waache ujinga,kama vipi iwe vita ya Dunia tuu tukawanyooshe pro Russia wote.
 
achana na chizi hiyo,japo mda mwingine huwa yupo correct ila kwa sasa yupo kwenye mapungufu tu hana balance ,ni chizi huyo tiyar

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Mm nashangaa mtu anasema tunawaitaji wazungu kwa lipi kwa africa Mchina akitudindia kidogo ndio tutaumia lakini sio westerners hajui zama zimebadlika
 
Ni kweli idadi ya watu kuwa kubwa sio tatizo ikiwa mna uchumi mkubwa. Angalia China ambayo ina watu 1.3 billion ila ina gni per capita ya $10,000. Huku Tanzania na watu wake 60 million ina gni per capita ya $1,100. Yaani hio ina maana kuwa China pamoja na kuwa na watu wengi kushinda bara nzima la Africa, kila mchina anapokea kwa mwaka income (mapato) mara kumi ya kila mtanzania. Kenya ina gni per capita ya $1,900 kwa hivyo mchina mmoja anapokea kwa mwaka income (mapato) mara tano ya kila mkenya. Afrika sijui tulifeli wapi. Sijui tulimkosea Mungu wapi. Wachina ni wengi sana kama siafu ila pia kimapato wametushinda kwa mbali. Hata nchi tajiri tajiri za Afrika kama South Afrika na Egypt haziwafikii wachina kwenye per capita income. Unakuta nchi mbili ndogo za Afrika ndio zinaweza kukimbizana na China kwenye gni per capita yaani Mauritius na Seychelles.
Tony. 🖐🏽 a point of correction... kenya ni $2,296, na sio $1,900
 
We cannot refuse to develop immense power systems due to fear of wiping ourselves out
It's not fear I'm talking about. It's ethics. For example, cloning is a perfect example of a scientific breakthrough. However, it is illegal in most countries because it's unethical.
 
wacha complications mzee, kama nafasi ipo Taifa mbona waende sehemu nyingine na pale accessibility ipo vizuri? Sehemu nyingine ina maana new roads, new water n power connections n compensation too! Budget yenyewe ya manati! Yaani waache sehemu BRT itapita na overpasses za kurahisisha connectivity waende Mabwepande sio? Kwani huangaliagi olympic kuona facilities zinawekwa sehemu moja? Au unafikiri sisi ni Dubai tuna pesa za mafuta kujenga sehemu yeyeote ile hata baharini?
Hyo arena ingejengwa hta morroco hku ingekua poa Sana.. Mtazamo wangu tu.
 
afadhar umeuliza, mana mwanzo nilitaka niseme ila nikakausha... afu sijasema mabwepande..

- ishu ya security: events zikifanyika sehem zote mbili wakat mmoja afu vurugu ikitokea huoni kuna hatari? mabomu je? watu watakaa kwa aman hapo?
-ishu ya umeme: hapo zipo eneo moja so the line ya umeme is same, umeme ukikatika wote watakosa umeme. utasema majenera yapo
-ishu ya folen: utaleta folen zisizo na sababu ya msingi kwa kukusanya watu/magar mengi sehem moja.. wakat huohuo serikali eti inataka kupunguza folen jijin Dar
-kueneza mji: kuweka hizo big infrastructures sehem moja unakosesha kuuneza maji, inabid hata watu wengine mfano mwenge, au hata pale ubungo maji wafarijike mtaan kwao kuna indoor arena
-unakosesha watu wengine kwenye ishu za biashara.. wafanyabiashara wa eneo hilo tu ndo watafaidika.. what if ukajenga mfano mbezi au ubungo maji au mwenge, kuna namna wafanyabiashara watawekeza huko na kulipa kodi (unaongeza kodi).. etc
  • umeongea ishu ya brt au barabara, mwenge brt itakuwepo, ubungo morogoro rd yote ina brt, hata huko tegeta brt itakuwepo.. sio lazima huku tu.. hata huko mbagala au sijui gongolamboto kunafaa ambapo brt itakuwepo pia, lkn sio kuweka sehem moja hapo Taifa
  • na mengine mengi tu wengine wanaweza kuongeza

na hapo taifa pemben ningeona ni jema kama wangejenga viwanja vidogo vidogo .. training pitches
Kujaza kila kitu sehem moja ni ujinga tu badala ya kutanua mji, Yan mtu akifika hpo taifa kashaona uwanja kashaona na arena! sio kweli
 
hapa ndo wanapokosea kuweka sehem moja.. waweke hata maeneo ya kinondoni, mwenge , kawe sijui wap huko .. kuziweka sehem moja haipendezi
Huwa ni kawaida sometimes kwa complex kukaa sehemu moja...sijajua kwann lakini nmeona nchi nying zimefanya hivyo

Ila haina noma ni Hizo Arena tu za Dodoma na Dar ndo zitakuwa karibu na stadium

Kuna project nyingne kama sports academy kila mkoa 2

Na Zile project mbili za TFF za Dar na Dodoma
 
Back
Top Bottom