Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tapatalk_1580048210798.jpeg
Eh2qEXrXYAEGI9P.jpg
EgAIodGWoAI5PiK.jpg
EiSuoYNXgAIQoz3.jpg
 
Danganyikans are and have been suffering from hunger, illiteracy, diseases etc but the media is too afraid of CCM to show it
Screenshot_20220314-062758.jpg
 
Hili jambo linaniudhi sana. Kwa nini hawa maumbwa Al shabab wanawachwa watawale huko Boni forest na kuchoma magari za contractor anayejenga barabara huko? Hio barabara ni muhimu sana kuunganisha Lamu na Garissa.
Kunyaland ni failed state, haina jeshi sasa wafanyeje?
 
Hehehehe ndiyo nasuburi nione wafaransa watafanyaje mpk TB2 iwe Kali kuliko TB3. Mana kwanza TB3 ukiingia tu unajikuta kama upo dunia nyingine kabisa, kwanza utapigwa baridi moja matata plus mandhari yake ya usafi isiyobadirika, wageni wanausifia sn huu uwanja, alafu anatokea kima eti analinganisha JNIA na JKIA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hawajawahi kufika walio wengi, Tanzania wanaijua kwa kuigoogle na kuambiwa hahahhhaha, TZ inabidi tupambane tuendelee kuvutia taasisi za kimataifa kuweka makao makuu yao hapa, tulichelewa sana wakati tunawasaidia wenzetu kupata uhuru, muda ni huu
 
Back
Top Bottom