Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

7BE2BFE2-5C1C-48E2-924D-85671447E917.jpeg
 
Hujawai kuona mtoto mdogo anakula udongo?? Umewai jiuliza kwa Nini anakuwa na hamu ya kula udongo.. Au ukuwai kukutana na mtu anakula kucha zake?? Jiulize ki sayansi ni kwa Nini??
Usiniwekee maneno kwa mdomo wee kilaza. Umemuita mwenzio mshamba kisa ameshangaa mnakula udongo. Ndio nikakuuliza hiyo ndio definition ya ushamba? Yani wale wenye Hawaii udongo na hawajui unaliwa ndio washamba?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom