Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Marekani huwa anapiga nchi masikini kwa kisingizio kwamba anaangamiza madikteta tukianzia Sadam Hussein wa Iraq, Gadaffi wa Libya na wengine. Japo Marekani alidanganya kwamba Sadam Hussein alikuwa na weapon of mass destruction ili apate ruhusa ya kuipiga Iraq. Baadaye ilijulikana ni uongo, Sadam hakuwa na silaha hio. Urusi nao huwa wanavamia nchi yoyote ambayo inataka kujiunga na demokrasia ya EU. Sasa hivi Urusi inaipiga Ukraine kwa sababu Ukraine inataka kujiunga na EU na Nato. Putin anasema kwamba Waukraine ni Warusi na hatowaruhusu kujiunga na EU sasa afadhali awapige awauwe wote kuliko kuwakubalia kujiunga na EU.
IMG-20220312-WA0030.jpg

Pata porojo kdg Tony 😂😂😂.
 
Marekani na Uingereza hawataki third Axis! Na EU inataka kuungana na kuwa at the center of the US and China! Kumbuka Canada sees herself belonged to EU ideals than the US'! hujui hii maneno uliza upewe somo! Ndo maana Germany na France r very suspiscious of the US true motives!
Hata kama Marekani angependa kupunguza nguvu za EU, hataipunguza sana. Bado sioni atafaidika vipi kwa kupunguza nguvu ya EU hususan ukizingatia wakati huu ambapo Russia ananguruma kama simba. Wakati huu Marekani anatafuta marafiki wa kumsaidia kupambana na Urusi. Isitoshe China nayo imekuwa tishio kubwa kwa Marekani. Mmarekani anaziogopa Uchina na Urusi kwa sasa.
 
Marekani huwa anapiga nchi masikini kwa kisingizio kwamba anaangamiza madikteta tukianzia Sadam Hussein wa Iraq, Gadaffi wa Libya na wengine. Japo Marekani alidanganya kwamba Sadam Hussein alikuwa na weapon of mass destruction ili apate ruhusa ya kuipiga Iraq. Baadaye ilijulikana ni uongo, Sadam hakuwa na silaha hio. Urusi nao huwa wanavamia nchi yoyote ambayo inataka kujiunga na demokrasia ya EU. Sasa hivi Urusi inaipiga Ukraine kwa sababu Ukraine inataka kujiunga na EU na Nato. Putin anasema kwamba Waukraine ni Warusi na hatowaruhusu kujiunga na EU sasa afadhali awapige awauwe wote kuliko kuwakubalia kujiunga na EU. Hizi nchi kubwa zikipigana sisi tusapoti nchi ndogo zinazopigwa yaani Iraq,Libya,Syria na Ukraine. Kwa maana kesho kichapo kitakuja kwa Tanzania na Kenya.
So, unadhani kenya ikipigwa na Russia au Us kuna nchi za ulaya zitakazowanyooseha kidole?
 
Marekani na Uingereza hawataki third Axis! Na EU inataka kuungana na kuwa at the center of the US and China! Kumbuka Canada sees herself belonged to EU ideals than the US'! hujui hii maneno uliza upewe somo! Ndo maana Germany na France r very suspiscious of the US true motives!
It's true, baada ya Trump na Sera zake za kibabe dhidi ya members wa NATO kuliamsha vugu vugu kubwa Kwa wanachama hao. Ndio maana wakataka kuunda kikosi spesho Kwa EU pekee.. Wakati wakiwa hapo England ikasukumwa nje na brexit. Kumbuka walitaka kujichelewesha na kurudi EU Kwa mlango wa nyuma ila Germany na France wawawakazia waharakishe kuondoka.

Ishu ya US na Australia kuweka ushirika kwenye kutengeneza nyambizi zao pia ilimchefua France. As ndio ilikuwa deal lake.. Hii ilichochea mvurugano ndani ya EU na NATO Kwa ujumla. England haina nafasi wala ushawishi EU.. Na England ndio kiungo cha US ndani ya EU.. Hivyo hakuna connection nzuri.. Lengo la US Sasa ni kuona EU haikai pamoja na kutengeneza hicho chombo cha pamoja cha kiulinzi maana mshirika wake wa ulaya England atabaki uchi/vulnerable na yeye pia ndio atasahaulika mazima kwenye block hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UK inacheza role chafu in EU nakumbuka baada ya France kukosa deal la Nyambizi! boris Johnson aliwaambia hivi!

Back
Top Bottom