Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SmartSelect_20220309-092650_Chrome.jpg

Tony254
Nasikia marekani alimwomba Poland kupeleka ndege Ukraine,
Poland akakubali ila akasema hatazipeleka moja kwa moja Ukraine bali atazipeleka kwenye base ya US ilioko Germany free of charge, then Marekani azipeleke mwenyewe Ukraine.
Marekani kachomoa😂😂😂😂
 
View attachment 2148899

Marekani ana ujinga. Marekani ni mwoga dhidi ya nchi kubwa kubwa kama Russia. Marekani na Urusi wote wanapenda kunyanyasa nchi ndogo ndogo ila ukiziambia zipigane tuone nani atashinda, zinaogopana. Wanaanza kusema kwamba nuclear bomb itamaliza dunia 😅
 
View attachment 2148899
Tony254
Nasikia marekani alimwomba Poland kupeleka ndege Ukraine,
Poland akakubali ila akasema hatazipeleka moja kwa moja Ukraine bali atazipeleka kwenye base ya US ilioko Germany free of charge, then Marekani azipeleke mwenyewe Ukraine.
Marekani kachomoa😂😂😂😂
Nikisema Marekani anataka kuvunja EU makuhadi Wakunya kama Tony254 huwa hawaoni hilo!
 
Russia anampoteza mpenziwe Germany. Hizi nchi mbili zilipendana sana kibiashara. Sasa uhusiano huo wa kibiashara unakwisha polepole.

Effect na madhara ya hii vita kwa uchumi wa Russia unaweza kuwa mkubwa sana. Russia inabidi sasa imtegemee mchina kwa kila kitu.

Mjerumani akimtenga mrusi nae anapigwa, mark my word na ndio itakua WWIII
 
Sio interest ya Marekani kuvunja EU.
Marekani na Uingereza hawataki third Axis! Na EU inataka kuungana na kuwa at the center of the US and China! Kumbuka Canada sees herself belonged more to the EU ideals than the US'! hujui hii maneno uliza upewe somo! Ndo maana Germany na France r very suspiscious of the US true motives!
 
Marekani ana ujinga. Marekani ni mwoga dhidi ya nchi kubwa kubwa kama Russia. Marekani na Urusi wote wanapenda kunyanyasa nchi ndogo ndogo ila ukiziambia zipigane tuone nani atashinda, zinaogopana. Wanaanza kusema kwamba nuclear bomb itamaliza dunia [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vita yakuviziana huwa ina propaganda sana pia neno democrasia hutumika sana,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vita yakuviziana huwa ina propaganda sana pia neno democrasia hutumika sana,

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Marekani huwa anapiga nchi masikini kwa kisingizio kwamba anaangamiza madikteta tukianzia Sadam Hussein wa Iraq, Gadaffi wa Libya na wengine. Japo Marekani alidanganya kwamba Sadam Hussein alikuwa na weapon of mass destruction ili apate ruhusa ya kuipiga Iraq. Baadaye ilijulikana ni uongo, Sadam hakuwa na silaha hio. Urusi nao huwa wanavamia nchi yoyote ambayo inataka kujiunga na demokrasia ya EU. Sasa hivi Urusi inaipiga Ukraine kwa sababu Ukraine inataka kujiunga na EU na Nato. Putin anasema kwamba Waukraine ni Warusi na hatowaruhusu kujiunga na EU sasa afadhali awapige awauwe wote kuliko kuwakubalia kujiunga na EU. Hizi nchi kubwa zikipigana sisi tusapoti nchi ndogo zinazopigwa yaani Iraq,Libya,Syria na Ukraine. Kwa maana kesho kichapo kitakuja kwa Tanzania na Kenya.
 
Back
Top Bottom