Nigeria wana GDP kubwa kushinda Kenya.Nigeria ina nafuu kushinda Kenya? Kivipi? Unaijua Nigeria vizuri kweli? Wao wamepigwa na boko haram kushinda Kenya tulivyopigwa na Al shabab. Wao hawana umeme hakika na kila duka au jumba lina genereta kwa maana umeme huwa unakuja kwa masaa manne kisha unasepa. Kenya tuna umeme wa hakika ambao haupotei kushinda nchi yoyote ukanda huu. Nigeria ni corrupt kushinda Kenya.
Kwa mtu aliye experience hii kitu unayosema hapa anakuelewa vzr sana, ile departure lounge ya Twiga ni noma sn.Hili jengo ni tamu sana hasa ukipandisha ngazi departure kuelekea immigration booth natural light na air conditioning itakufanya ujiskie raha na kujiona uko sehemu tofauti kbs!baada ya hapo panda ngazi kuelekea departure lounge unakutana na maduka ya kisasa yaliyo dizainiwa kwa ustadi mkubwa plus upande wa pili kuta za vioo ukitazama ndege zilizopaki pamoja na eneo lenye uwanda mkubwa uliowazi!!!.
That's our pride, thank you for noticing. We value green spaces and it is our intention to retain them that way...whenever developers ( including the government)plan to erect infrastructure on green spaces they get slapped by court orders and activists ...look at all projects including the expressway... Back in the day, moi wanted to build a 70story skyscraper at uhuru park and it was stopped by Wangari Maathai & activistsNchi yenu iko wazi sn, eneo kubwa bado ni pori co ka Nairobi pekee.
Asante kwa kuukubali ukweli huu, ss asitokee mkunya yeyote kushindanisha Dar na ka Nairobi kwa wingi wa majengo na electricity connectivity.That's our pride, thank you for noticing. We value green spaces
Hivi ni viashiria vya uchumi wenye GDP kubwa ya ukweli.
Nawe bwana unakuwa kama huoni kinachoendelea, kwani MGR yetu tangu unaijua, treni imewahi kusimama kwa kukosa mafuta? Huu ni ushenzi wa watu wa Nigeria Railway Corporation na si kwavile ni diesel train!Dah watu wabaya sana wanekula mafuta yote ndio heri hata sisi huo upuuzi wa kupata hasara za kijinga utakuwa haupo maana tunatumia stima kwenye sgr yetu
Kabisa mkuu ni experience nyingine nikawa najiuliza hawa wafaransa wameanza kutamba kuwa watalifumua TB2 na kulijenga upya na watahakikisha TB3 inasubiri kwa modernity na uzuri!!since itakuwa hub abiria wa domestic na international wanakutana!!!nikabaki najiuliza sa itakuaje!mchakato wa hotel ya 4 star unakwenda kwa kasi ambayo almost itakuwa na ghorofa nane japo jiji wanataka kuleta kauzibe!!plus commercial complex!! mmmmh!Kwa mtu aliye experience hii kitu unayosema hapa anakuelewa vzr sana, ile departure lounge ya Twiga ni noma sn.
Hehehehe ndiyo nasuburi nione wafaransa watafanyaje mpk TB2 iwe Kali kuliko TB3. Mana kwanza TB3 ukiingia tu unajikuta kama upo dunia nyingine kabisa, kwanza utapigwa baridi moja matata plus mandhari yake ya usafi isiyobadirika, wageni wanausifia sn huu uwanja, alafu anatokea kima eti analinganisha JNIA na JKIAKabisa mkuu ni experience nyingine nikawa najiuliza hawa wafaransa wameanza kutamba kuwa watalifumua TB2 na kulijenga upya na watahakikisha TB3 inasubiri kwa modernity na uzuri!!since itakuwa hub abiria wa domestic na international wanakutana!!!nikabaki najiuliza sa itakuaje!mchakato wa hotel ya 4 star unakwenda kwa kasi ambayo almost itakuwa na ghorofa nane japo jiji wanataka kuleta kauzibe!!plus commercial complex!! mmmmh!














The irony is, with all the green spaces and a third of dar size, Nairobi still beats you and gives you sleepless nights😅Asante kwa kuukubali ukweli huu, ss asitokee mkunya yeyote kushindanisha Dar na ka Nairobi kwa wingi wa majengo na electricity connectivity.
🤣🤣🤣 Waache na porojo zao za hovyo sisi tunasonga mbele!!!nimeshachoka na hizi ndizi mzuzu za Kenya hovyo kbs!Hehehehe ndiyo nasuburi nione wafaransa watafanyaje mpk TB2 iwe Kali kuliko TB3. Mana kwanza TB3 ukiingia tu unajikuta kama upo dunia nyingine kabisa, kwanza utapigwa baridi moja matata plus mandhari yake ya usafi isiyobadirika, wageni wanausifia sn huu uwanja, alafu anatokea kima eti analinganisha JNIA na JKIA![]()
Weka ushahidi tuone Kama wakenya wameokolewa "formally"
The best 007 na WAKUDAMSH nawakumbusheni kwamba japo JNIA ni modern airport kushinda JKIA, JKIA inapokea abiria wengi kwa mwaka kushinda airport zenu zote. 🤣 😅Hehehehe ndiyo nasuburi nione wafaransa watafanyaje mpk TB2 iwe Kali kuliko TB3. Mana kwanza TB3 ukiingia tu unajikuta kama upo dunia nyingine kabisa, kwanza utapigwa baridi moja matata plus mandhari yake ya usafi isiyobadirika, wageni wanausifia sn huu uwanja, alafu anatokea kima eti analinganisha JNIA na JKIA![]()
Pia wana gdp per capita kubwa kushinda Kenya lakini huko kwao kila mtu ana genereta nyumbani na kazini kwa sababu ya ukosefu wa umeme hakika 😅 🤣 . Kenya hakuna mtu hata mmoja ambaye ana genereta nyumbani kwa maana umeme ni stable sana na haupotei hovyo hovyo kama inavyofanyika Nigeria.Nigeria wana GDP kubwa kushinda Kenya.
Tony acha wivu ndg yangu it's matter of time tu ila kama ni kweli msije mkawa mnajipikilisha data tu maana nyie ni ma expert kwny eneo hili 🤣 hamshindwi kujifariji!!!siku ukiwa umetulia jaribu kupitia views za watu hapa jinsi wanavyosifia TB3 kuanzia facilities mpk watendaji wake walivyo poa plenty of comments gusa hapo kwny reviews ukimaliza bonyeza mshale kuendelea kusoma zingine soon tunamaliza nyote zote za rating!!!na hii ni baada ya covid kuna baadhi ya investors wali back off ila wamerudi kwa kasi kumalizia maduka tegemea maajabu zaidi mtani.The best 007 na WAKUDAMSH nawakumbusheni kwamba japo JNIA ni modern airport kushinda JKIA, JKIA inapokea abiria wengi kwa mwaka kushinda airport zenu zote.
Hahaha Mimi sipingi kwamba TB 2 au 3 ina reviews nzuri kwenye internet. Nimeshasema kwamba airport terminal yenu ni ya kisasa na inapendeza kweli. Sasa haishangazi kwamba abiria wanaifurahia na kuipatia ratings nzuri. Lakini pia nimesema kwamba airport yetu ya JKIA ambayo mimi nakubali terminals zake nyingi ni nzee, bado inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zote. Itawachukua angalau miaka mitano ili airport zenu zote kufikia kiwango au idadi ya abiria ambayo JKIa inapokea kwa sasa.Tony acha wivu ndg yangu it's matter of time tu ila kama ni kweli msije mkawa mnajipikilisha data tu maana nyie ni ma expert kwny eneo hili 🤣 hamshindwi kujifariji!!!siku ukiwa umetulia jaribu kupitia views za watu hapa jinsi wanavyosifia TB3 kuanzia facilities mpk watendaji wake walivyo poa plenty of comments gusa hapo kwny reviews ukimaliza bonyeza mshale kuendelea kusoma zingine soon tunamaliza nyote zote za rating!!!na hii ni baada ya covid kuna baadhi ya investors wali back off ila wamerudi kwa kasi kumalizia maduka tegemea maajabu zaidi mtani.
View attachment 2147747
Hamna mkenya aliepo UkraineSerikali ya Kenya ilifanya mipango na serikali ya poland zamani sana. Huna habari?
Wewe umerogwa. Unapenda kuongea bila facts.Hamna mkenya aliepo Ukraine