Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If an army can't protect borders of the country, how do you call that army?.

This is what we call "reality vs theories. If you looking military ranking of KDF and it's performance, is like day and night.

If you look economic rank of Kenya and what is happening on the ground, can't understand what is going on
let me tell you this jiwe la moto, a terrorist is a very coward person, that's why they come in plain clothes, study the place first before they could ambush. they are coward because they always look for very soft targets, the civilians.. they can strike anywhere and without any prior notice.. its not tht kdf is weak or underperforming as you say, but because they are dealing with these unpredictable animals
 
uzuri tumewazoea, hakuna haja ku catch feelings coz itakua ni kuwaste energy na tyme. uwivu wenu tumezoea
Sasa wivu kisa bus, wakati sisi tukiamua tunaagiza hata 100 kwaajili ya BRT. Sasa mnasema the first in Africa swala ambalo sio kweli then mnataka tuwasifie!
 
Timo wachana na hawa washamba hawaelewi kwamba superpower pia inaweza kushindwa na nchi kadogo. Wanasahau Vietnam kanchi kadogo kaliitandika Marekani vita takatifu hadi Marekani akainua mikono. Afghanistan nayo iliitandika USSR hadi USSR ikavunjika. Last year Marekani baada ya kupigana na Taliban miaka ishirini waliinua mikono wenyewe na kujitoa huku wakipigwa bomb kwenye airport. These guyz are fools, they think a superpower must win. Wasome historia waone jinsi underdogs pia huwa wanashinda vita

Teh teh teh,
Those are wishful thinking.
 
Sasa kwako unaona kwamba Russia ina right ya kuivamia nchi huru? Minsk agreement haikupatia Russia ruhusa ya kuivamia Ukraine. Jambo la Russia kuivamia nchi huru ni war crime na crime against humanity. Hapo Russia wamevunja international law japo wewe na wenzako mnawashabikia.

Sikuwahi sikia marekani anapovamia nchi huru, nguvu kutumika kupinga. Walimuua Saddam na Gaddafi kwa sababu za uongo. Mlibaki kupiga makofi na kusifia.
 


Abiria wa bm coach wanapewa mpaka mvinyo haya mambo kenya yapo au anasa izi
Watoe wapi, kwanza bus zimeongezwa siti tofauti na zilivyokuja, yani abiria ukifika final destination unakuwa hoi kama ulikuwa unabeba mizigo, alafu kuna baadhi ya safari huko Kunyaland unatumia mpk siku mbili njiani kutokana na ubovu wa road.
 
Failed state hiyo mkuu, ipo group moja na nchi fulani hivi japo hao Nigeria wana nafuu.
Nigeria ina nafuu kushinda Kenya? Kivipi? Unaijua Nigeria vizuri kweli? Wao wamepigwa na boko haram kushinda Kenya tulivyopigwa na Al shabab. Wao hawana umeme hakika na kila duka au jumba lina genereta kwa maana umeme huwa unakuja kwa masaa manne kisha unasepa. Kenya tuna umeme wa hakika ambao haupotei kushinda nchi yoyote ukanda huu. Nigeria ni corrupt kushinda Kenya.
 
Hili jambo linaniudhi sana. Kwa nini hawa maumbwa Al shabab wanawachwa watawale huko Boni forest na kuchoma magari za contractor anayejenga barabara huko? Hio barabara ni muhimu sana kuunganisha Lamu na Garissa.
Ss ndiyo ujiulize mbona hao wazungu mnaowapa support hawaingilii?
 
Hivi serikali ya kenya inasemaje kuhusu watu wake walio Ukraine.
Haina habari nao, serikali ya Kunyaland huwa ipo busy na remittance collection na sio kuokoa raia wake, huwa inawaacha wajiokoe wenyewe, ndiyo maana wakunya huwa wajanja wajanja maana tangu watoto hawapewi support yoyote na serikali yao.
 
Watoe wapi, kwanza bus zimeongezwa siti tofauti na zilivyokuja, yani abiria ukifika final destination unakuwa hoi kama ulikuwa unabeba mizigo, alafu kuna baadhi ya safari huko Kunyaland unatumia mpk siku mbili njiani kutokana na ubovu wa road.
Uongo. Kenya hakuna barabara mbovu isipokuwa ile ya kuelekea Mandera. Uhuru amejenga lami kila mahali. Sasa hivi safari kuelekea Moyale ni ya Lami. Safari ya kuelekea Turkana pia ni ya Lami.
 
Back
Top Bottom