Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
Itakuw niujingaa...wherever the reasonsNa sisi tunaenda Kujenga Tower pale Mjini Naiobae kama Wakulungwa wa CGTN. Kulikua na project zamani Ya kilimanjaro towers wakati wa Kikwete ikapotea nadhani itakua inaanza upya au ni nyingine hii.
View attachment 2138385
Hivi unafahamu hii ni forum ya kimataifa?jaribu kupost vitu vinavyomake sense usipende kila mtu akuone hauna akili ,spa unatuonyesha vichaka ama mashamba?Unatoa wapi nguvu ya kukosoa hizi roofings? Kunyaland mnaona ajabu sababu hela za kununua bati hamna (bati zenyewe ndio nyumba zenu)
Ukifika Geita utasemaje sasa? Sababu hizi bado ni short roofing kwa Geita
Low middle income earners of Dodoma
View attachment 2138701
View attachment 2138702
View attachment 2138703
View attachment 2138704
View attachment 2138705
View attachment 2138706
Export of Services ..na Foreign assests..watu watapanga huko NBO ni opportunity nyingne ya kuinvest ..As in Foreign currency, Pia Upper Hill ni CBD yenye demand kubwa ..nmejaribu kuwa na postive view....maana na mind kwann 20 floors wasiweke DomKwanini wasijenge ghorofa tatu tu hizo 20 wakaleta Dar?
Hauna uhalisia katika takwimu zako,uko biased sikuzote,Hata kama una point zinaondokaTanzania Vs Kenya in terms of infrastructure.
Road Pavement.
Kenya = 22,000km
Tanzania = 9,000km
Electricity connectivity.
Kenya = 8.5M customers
Tanzania = 2.7M customers.
Aviation.
Kenya = 13M passengers in a year.
Tanzania = 5.5M passengers in a year.
Health
Kenya = 13,000 hospitals
Tanzania = 8,000 Hospitals.
Education
Kenya = 74,000 schools
Tanzania = 33,000 schools.
Marine
Mombosa port = 34M tonnes
All Tanzanian ports = 17M tonnes.
I kutotumia vyema pesa yetuKitega uchumi cha ubalozihii imekaaje
Hapo anapongeza huku anasomba pesa kwenye rumbesa 2025 kama mama sa100 atafika salama basi tunafumua wahuni wote pamoja na sa100 tunataka full capacity dictator atakaye tunyoshea nchi
Kila nikiona hii habari naisi kupasukaa




Kwenye slums zenu za Kikunya ndio unataka niweke?Hivi unafahamu hii ni forum ya kimataifa?jaribu kupost vitu vinavyomake sense usipende kila mtu akuone hauna akili ,spa unatuonyesha vichaka ama mashamba?
Hongera kwenu mana naona , Tz tulimaliza kujenga sasa tumeamia kujenga kunya landConstruction is everywhere in Nairobi. This is Kilimani
View attachment 2138491View attachment 2138492
Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo dunianiKitega uchumi cha ubalozihii imekaaje
Why you think so?
Kwenye slums zenu za Kikunya ndio unataka niweke?



Your friend posted homes that are considered creme de la creme from a gated community and you googled random houses in Kenya to compare with? Here are typical Kenyan Bungalows sir. Usijidanganye tunafanana.Nyie wapumbavu muache kujitia ujuaji msiokuanao vilaza, kwahyo hii 👇ni design nzuri kuliko.?😂😂View attachment 2138591View attachment 2138592View attachment 2138593View attachment 2138594kwenu kupanga rangi nyumba ni anasa 😂😂
Kwasasa naona mipango ya kupiga pesa imechachamaa kweli kweli, wizarani kila mtu anataka kwenda Ulaya kwa kisingizio cha kuvutia investors, kina Nape wao Ulaya imeshaanza kuwa nyumbani, kisingizio ni kile kile kuvutia investors mara cjui kuwa na technology jumuishi yn upumbavu mtupu unaendelea serikalini kwa ss, Leo nimemuona yule mama CEO wa TAHA naye yupo France kisingizio ni kile kile, dah tumepatikana kweli kweli this timeSio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
Huna akili wewe hiyo inafahamika, taja bidhaa 5 Kenya inauza nje kwa wingi Kama sio chai, maua na Ovacados, which finished products do you produce?
Tuko busy kutumia ela ya Tz kujenga gorofa kunya landKwasasa naona mipango ya kupiga pesa imechachamaa kweli kweli, wizarani kila mtu anataka kwenda Ulaya kwa kisingizio cha kuvutia investors, kina Nape wao Ulaya imeshaanza kuwa nyumbani, kisingizio ni kile kile kuvutia investors mara cjui kuwa na technology jumuishi yn upumbavu mtupu unaendelea serikalini kwa ss, Leo nimemuona yule mama CEO wa TAHA naye yupo France kisingizio ni kile kile, dah tumepatikana kweli kweli this time



Kwahyo umeona wivu kisa ghorofa lakin huangalii faida za badae juu ya huo uwekezaji...Tuko busy kutumia ela ya Tz kujenga gorofa kunya land![]()
Kwasasa naona mipango ya kupiga pesa imechachamaa kweli kweli, wizarani kila mtu anataka kwenda Ulaya kwa kisingizio cha kuvutia investors, kina Nape wao Ulaya imeshaanza kuwa nyumbani, kisingizio ni kile kile kuvutia investors mara cjui kuwa na technology jumuishi yn upumbavu mtupu unaendelea serikalini kwa ss, Leo nimemuona yule mama CEO wa TAHA naye yupo France kisingizio ni kile kile, dah tumepatikana kweli kweli this time



kwahyo ile regime ilioisha ww uliipenda sana