Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani
Kuna sehemu kama Tanga pipeline inaenda ila hamna ofisi za maana! Kunahitaji investments kama hizi!
 
leteni kandarasi masera wangu. au kama vip ni mizuka

kazi ya leo hii. mteja wangu flani toka eldoret 👇🏽
kwa imani ata dar na chugga ntaishika sku moja

View attachment 2138979
Unatumia Revit boss? Mimi ni msee wa ArchiCAD.

Latest project

1.png
 
View attachment 2138951View attachment 2138952View attachment 2138953View attachment 2138956View attachment 2138957View attachment 2138958

Unataka nikuhesabie finished products hapo ni ngapi ama unajua kuhesabu?

Pitia katika orodha Kama hii ya Tanzania uone bidhaa za Tanzania zinazouzwa nje. Wacheni kisingizio Tanzania tumechukua masoko yenu yote hapa EA, yaani bidhaa ambazo Uganda na Rwanda na DRC walikua wanazifuata Kenya, Sasa hivi wanakuja kununua Tanzania
 
Pitia katika orodha Kama hii ya Tanzania uone bidhaa za Tanzania zinazouzwa nje. Wacheni kisingizio Tanzania tumechukua masoko yenu yote hapa EA, yaani bidhaa ambazo Uganda na Rwanda na DRC walikua wanazifuata Kenya, Sasa hivi wanakuja kununua Tanzania
Mbona usipost kama nilivyokupostia? When you say something, the onus is on you to prove it.
Halafu Kenya is still the biggest exporter in EA. We export the most and import the most. Sijui hii kiherehere ya kuchukua soko mnakitoa wapi na hamna facts.
 
Unatumia Revit boss? Mimi ni msee wa ArchiCAD.
me Revit... no, i only use ArchiCad19or22 for drawing and Artlantis6 for Rendering, but the latest ArchiCad25 and Lumion Render are the best.

OK. NairobiWalker, sijajua pia wewe, sawa tu na mashashola tuko wote kwenye hii fani.. that's great men.!🔥 cheerz🤜🏼🤛🏼
 
Sio mbaya ..lazima nchi iwe na foreign assests zinazoingizia hela ..Upper hill is a developing CBD ..lakino je hizo hela zitafika kweli Tz ..sijajua..lakini sio kitu kibaya..Goverments mbali mbali hufanya hvyo duniani

Ebu nieleweshe bro umuhimu wa hilo ghorofa linalojengwa uko kenya wangesema wanajenga magodauni ya kuhifadhi vyakula vyetu tunavyowauzia uko hapo sawa
 
Kazi nzr ila ma Architecture Tz wapo wengi hata watu wasioenda shule kabisa wanafanya hii kazi vzr kabisa.
but ujue wale wasio enda shule ndo chanzo cha manyumba kuanguka, hasa nyumba za ghorofa, kisa ku space Columns beyond 6000c/c ama Ringbeams tht are less than 450mm deep or even Cantilivered Balcony that goes beyond 2000mm na bila ku involve Structural Engineer kwa Reinforcement Steel Bars...
 
wenzetu ,hawawezi haya mambo

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
While you are here hating,
you know currently the Tanzanian High
Commission in Nairobi is renting a room in Reinsurance Plaza at the CBD? This isn't a good show considering there are probably the largest concentration of Tanzanian citizens in Kemya outside of Tanzania.
images (14).jpeg
2021-09-28.jpg
images (13).jpeg
 
Kuna tofauti Kati ya high speed rail na SGR . Ni hivi sio kila SGR ni high speed rail Ila kila high speed rail ni SGR.. ona vile high speed rail hukaa 👇 TanzaniaView attachment 2138647View attachment 2138648View attachment 2138649high speed rail in china 👇View attachment 2138651haya tuonyeshe na wewe hiyo high speed rail mliyozindua uko kwenu .. inshort you guys have zero km of high speed rail.. high speed rail zipo tz tu kwa hapa East Africa.. kitu nyie mnacho ni kama hiki cha US 👇View attachment 2138653and by the way, this ☝️ isn't considered a high speed rail.. sisi tunazo na tukikamilisha tatakua nchi pekee Africa kuwa na km zaidi ya 1500 za high speed rail while you guys have zero km. 😂😂
Clearly you have absolutely no idea what you are ranting about. Kila high speed rail sio SGR!!!! Bongolala... There are broader gauges from 1676mm !!!!!!!! And unless your rail will be operating at 250 km/h and above, you are proving silly thinking you have high speed rail ..Acheni aibu za kijijini !! The US of A itself barely has 1 high speed line, 3 under construction at the moment, who is bongolala?? Your high speed rail will probably arrive 300 years from today
 
Back
Top Bottom