Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Installed capacity Tz 2200MW, Kenya 2600MW, in Tz over 3000MW will be added into the national grid by early next year sasa sijui Kenya wata add ngapi.
please isupporti hili hoja lako na reporti masera wangu ili tupate kukuamini. ila jinzi ninavyo jua mimi kwa sasa, ke2,800Mw, tz1,500Mw, ug1,000Mw.

hii report ya marekani najua ni saratani ya makende yani prostate cancer, kwa wengi wenu humu 😆😆. ila ukweli inachoma sana

Screenshot_20211228-111620_Chrome.jpg
Screenshot_20211228-111654_Chrome.jpg
 
please isupporti hili hoja lako na reporti masera wangu ili tupate kukuamini. ila jinzi ninavyo jua mimi kwa sasa ke2,800Mw, tz1,500Mw, ug1,000Mw.

hii report ya marekani najua ni saratani ya makende yani prostate cancer, kwa wengi wenu humu [emoji38][emoji38]. ila ukweli inachoma sana

View attachment 2138473View attachment 2138474
Gas inayo support viwanda unamwachia nani Mama Ngina au [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sitaki kuamini kama hamuipendi Kenya namna hiyo……[emoji28][emoji28]

Angalia kwa jicho la kiuwekezaji…..itatulipa[emoji28]
Hapo umenifungua mzee, ila kukosa hivyo hawa mbwa ilikuwa co wa kuwajengea ghorofa kubwa hivyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom