Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Almost there
20220304_120916.jpg
20220304_120923.jpg
20220304_120927.jpg
 
Nyinyi nchi maskini aiseee!!!mmekopa tu in less than 6 months na world Bank ishatoa report😄😄😄
Wewe ni kenge,Tzn haijaanza Kukopa Jana wala leo,imekuwa inakopa miaka yote ila with cautious.

Baada ya kuanza uwekezaji kwenye mega infrastructure ndio deni limekua kidogo but tuko mbali saaaaana na mstari mwekundu.
 
Na sisi tunaenda Kujenga Tower pale Mjini Naiobae kama Wakulungwa wa CGTN. Kulikua na project zamani Ya kilimanjaro towers wakati wa Kikwete ikapotea nadhani itakua inaanza upya au ni nyingine hii.

IMG_5066.jpg
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Those are literally 2 mansions. 2 mansions are enough to make you utter such words? Where do you guys get the courage??😅😅
After iyo mansion moja NOMA next Ni zile nyumba zao with roof kubwa kama Uteo ndugu ya Ibadan Nigeria., very ugly houses,
 
Bro, according to the 2019 Census report The Western Block of Kenya had the biggest population density in Kenya.
The Nairobi Metropolitan is big but doesn't account to 20% of Kenya's population and neither does Nairobi account to 60% of Kenya's economy.
Kenya has a GDP of 110 Billion & Nairobi only claims 47 billion out of that. View attachment 2138174View attachment 2138177View attachment 2138189
Kumbe narok inawaka kuliko kisii kericho homa bay migori etc..
 
Thiba dam is finally complete

Yaani dam inaenda Ku double rice production in Kenya is done na wakenya humu ndani wametulia tu?
Hawapost
 
Back
Top Bottom