tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Mko zaidi ya 50M uache ujinga.watu wana rely na data kama wamepungua tufanyejesi mlisema mko na $ millionaires wengi kutuliko mzee? Alafu tuko only 48 million wakati nyie 60+ million na madini yote hayo!

Tanzania
isn't considered a high speed rail.. sisi tunazo na tukikamilisha tatakua nchi pekee Africa kuwa na km zaidi ya 1500 za high speed rail while you guys have zero km. 
hii ndiyo nchi iliyoendelea zaidi EA hata wakilia but huu ndiyo ukweli, maendeleo yanaonekana kwa macho na co on paper