Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Road pavement
Tuko mbali sn mana Tz ni mara mbili ya Kunyaland so ni mpumbavu tu atakayeamini Kenya mtandao mkubwa wa lami kuliko Tz na ndiyo maana ni vigumu kusafiri kwa basi kwa zaidi ya siku moja kutoka Dar kwenda popote Tz ila kuna safari unatoka Nairobi kwenda county nyingine ndani ya Kenya unatumia zaidi ya siku mbili.

Electricity connectivity
Tz inaongoza Africa kwa kuunganisha umeme vijijini, ikumbukwe kwamba waafrika wengi wanaishi vijijini na co mijini so kuhusu umeme tunaongoza East Africa nzima co tu Kenya.

Aviation
Tuna viwanja vingi vya ndege na vya kisasa zaidi na watz wanatumia sn usafiri wa ndege plus wageni, Kunyaland ilijifungia so kwa ss hatushikiki kabisa tena hapa msiguse kabisa mtaumia.

Health
Hii tulishawapiga, now Wakenya na binadamu wengine kutoka mataifa mbalimbali Africa wanakuja kutibiwa Tz cz kuna huduma za kiafya hazipatikani kwao Hilo liko wazi na Sina haja ya kulizungumzia, tena hapa naomba ieleweke kwamba kwa ss wapinzani wetu ni SA, Egypt, na Morocco.

Education
Hapa ngoja nicheke kdg nchi tunaizidi number of registered engineers Leo, nchi majengo yanaporomoka kila siku, nchi mpk leo wanauana kwa misingi ya ukabila, nchi mpk leo inashindwa kujitosheleza kwa chakula inataka kushindana na Tz kwa education? May be the phrase education has got new meaning.

Marine
Dar port imeshaizidi Mombasa port tangu mwaka jana, so you need to update your big empty brain.
Today I don't talk much. It's just posting facts after facts😂😂

tz-pic-data.jpg
 
Road pavement
Tuko mbali sn mana Tz ni mara mbili ya Kunyaland so ni mpumbavu tu atakayeamini Kenya mtandao mkubwa wa lami kuliko Tz na ndiyo maana ni vigumu kusafiri kwa basi kwa zaidi ya siku moja kutoka Dar kwenda popote Tz ila kuna safari unatoka Nairobi kwenda county nyingine ndani ya Kenya unatumia zaidi ya siku mbili.

Electricity connectivity
Tz inaongoza Africa kwa kuunganisha umeme vijijini, ikumbukwe kwamba waafrika wengi wanaishi vijijini na co mijini so kuhusu umeme tunaongoza East Africa nzima co tu Kenya.

Aviation
Tuna viwanja vingi vya ndege na vya kisasa zaidi na watz wanatumia sn usafiri wa ndege plus wageni, Kunyaland ilijifungia so kwa ss hatushikiki kabisa tena hapa msiguse kabisa mtaumia.

Health
Hii tulishawapiga, now Wakenya na binadamu wengine kutoka mataifa mbalimbali Africa wanakuja kutibiwa Tz cz kuna huduma za kiafya hazipatikani kwao Hilo liko wazi na Sina haja ya kulizungumzia, tena hapa naomba ieleweke kwamba kwa ss wapinzani wetu ni SA, Egypt, na Morocco.

Education
Hapa ngoja nicheke kdg nchi tunaizidi number of registered engineers leo inataka kushindana na Tz, nchi majengo yanaporomoka kila siku, nchi mpk leo wanauana kwa misingi ya ukabila, nchi mpk leo inashindwa kujitosheleza kwa chakula inataka kushindana na Tz kwa education? May be the phrase education has got new meaning.

Marine
Dar port imeshaizidi Mombasa port tangu mwaka jana, so you need to update your big empty brain.
Today is just facts after facts

Screenshot_20220304-182047.jpg
 
Please let's all embrace facing facts head on.

2424402_Screenshot_20200611-154454.jpg
Screenshot%20(147).jpg
 
That's a moderate speed my friend. High inaanzia huko 320km/h, the likes of Morocco should be the one talk about high speed.
Rail ya Tz imejengwa kuhimili speed up to 250km/hr sisi tumeanza na train za speed ya 160km/hr when the need arise we will buy trains with higher speed than 160kph but for now this is sufficient for us and it is a high speed train or rather bullet train for your information
 
We are buying your banks yet you are here yapping about stupid things.
kwani kuna tatizo la kampuni yeyote ile ya kenya kununua hisa tanzania,au tanzania kuwa share holder kwa kampuni za kenya?

mbona unakuwa mshamba hivyo kwa vitu vya kawaida,siyo big deal

mbona kuna mtz huko katia mpunga safaricom

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Road pavement
Tuko mbali sn mana Tz ni mara mbili ya Kunyaland so ni mpumbavu tu atakayeamini Kenya mtandao mkubwa wa lami kuliko Tz na ndiyo maana ni vigumu kusafiri kwa basi kwa zaidi ya siku moja kutoka Dar kwenda popote Tz ila kuna safari unatoka Nairobi kwenda county nyingine ndani ya Kenya unatumia zaidi ya siku mbili.

Electricity connectivity
Tz inaongoza Africa kwa kuunganisha umeme vijijini, ikumbukwe kwamba waafrika wengi wanaishi vijijini na co mijini so kuhusu umeme tunaongoza East Africa nzima co tu Kenya.

Aviation
Tuna viwanja vingi vya ndege na vya kisasa zaidi na watz wanatumia sn usafiri wa ndege plus wageni, Kunyaland ilijifungia so kwa ss hatushikiki kabisa tena hapa msiguse kabisa mtaumia.

Health
Hii tulishawapiga, now Wakenya na binadamu wengine kutoka mataifa mbalimbali Africa wanakuja kutibiwa Tz cz kuna huduma za kiafya hazipatikani kwao Hilo liko wazi na Sina haja ya kulizungumzia, tena hapa naomba ieleweke kwamba kwa ss wapinzani wetu ni SA, Egypt, na Morocco.

Education
Hapa ngoja nicheke kdg nchi tunaizidi number of registered engineers leo inataka kushindana na Tz, nchi majengo yanaporomoka kila siku, nchi mpk leo wanauana kwa misingi ya ukabila, nchi mpk leo inashindwa kujitosheleza kwa chakula inataka kushindana na Tz kwa education? May be the phrase education has got new meaning.

Marine
Dar port imeshaizidi Mombasa port tangu mwaka jana, so you need to update your big empty brain.
Dar port hata lamu port haiwezani nayo
 
Rail ya Tz imejengwa kuhimili speed up to 250km/hr sisi tumeanza na train za speed ya 160km/hr when the need arise we will buy trains with higher speed than 160kph but for now this is sufficient for us and it is a high speed train or rather bullet train for your information
Congratulations for dreaming big😂😂

Screenshot_20220304-191148.png
 
kwani kuna tatizo la kampuni yeyote ile ya kenya kununua hisa tanzania,au tanzania kuwa share holder kwa kampuni za kenya?

mbona unakuwa mshamba hivyo kwa vitu vya kawaida,siyo big deal

mbona kuna mtz huko katia mpunga safaricom

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
His shares in safaricom is less than 0.003% while Kenyans shares in Tanzania companies are upto 70%.
 
Back
Top Bottom