Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sawa
Yes balozi zetu zinabidi nazo ziwekeze huko zilipo, hapa naona Harambee Plaza ya Kenya wanatumia pia kama kitega uchumi chao, Ubalozi wa Sweden ni mwanahisa mkubwa tu CRDB PLC n.k. Ifikie kipindi balozi zijitegemee kama zinapata fursa kama hizi.
 
Wanapost picha hizi hizi za xpress way ya mchina wiki nzima, yn tumewatesa mwaka mzima hawakuwa na kipya cha kupost ndiyo sasa angalau mchina kawafuta machozi, ila hatutowapa break tutaendelea kuwapiga na vitu vipya mpk wajute kuwa mafukara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mateso mwaka huu kwa hawa jamaa yatakua makubwa sana, kwasababu ukizingatia, Tz itazindua miradi mingi ikiwemo na SGR..
 
Umeongea kwa machungu Sana. Najua expressway inawapa hasira lakini itabidi ukuwe tu used to it.
 
Mateso mwaka huu kwa hawa jamaa yatakua makubwa sana, kwasababu ukizingatia, Tz itazindua miradi mingi ikiwemo na SGR..
Mtakuwa mnazindua vitu Kenya ilizindua kitambo Sana. Again Tanzania has been launching SGR since 2017😂😂
 
Pembeni ya hapa kuna jalala ukibisha sema nikufunue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ripoti ya Knight Frank umeona kweli? Dar will never make to this list.

Screenshot_20220304-002143.png
 
Mtakuwa mnazindua vitu Kenya ilizindua kitambo Sana. Again Tanzania has been launching SGR since 2017[emoji23][emoji23]
Mlizindua treni ya umeme kitambo au co [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlizindua treni ya umeme kitambo au co [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulizundua SGR kitambo sana. Electricity is just make ups. No wonder your trains are designed to transport only 1.1M passengers in a year.
 
Siezikakulisha Kila kitu. Nenda kwa website ya Knight Frank you will find everything you are seeking.

View attachment 2138598
Wakuu mmeona ujinga wa wakenya sasa? Yani mpaka leo wanaumizwa kupigwa na Dar kwenye idadi ya millionaires, jamaa kila siku anakuja na vijarida uchwara ili kujipa relief ya maumivu, mwambieni aweke link ss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom