Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mfano, tea factories za kericho wanatumia kuni ya miti waliopanda wenyewe.. lakini fossil fuels ndo inatumika ata zaidi
You must be joking huwezi fananisha matumizi ya umeme kwa tea factory na world class mining huku Tz mining zote zinatumia their own source of power including gas now they are in the process of being connected to the national grid starting with Kahama mining that signed with Tanesco electricity contract valued at US 5 million per month.
 
Lugha ndio ina kupiga chenga au tatizo nini kijana? Njaa imepanda hadi kwenye ubongo Sio?

Hao wazungu wa Kenya wamechukua 70% ya wazungu wa ABB from Norway. Sasa sijui unaleta Habari gani hapa.

Weka list ya shareholders Sasa hapa ikae Sawa.
Shareholders wa TransCentury. Ebu nionyeshe hao wazungu

Screenshot_20220304-115039.jpg
 
Eti Nairobi pekee ndio inawaka? Huoni Mombasa inatoa mwangaza sawia na Dar es Salaam? Itakuwaje city yetu ya pili kwa ukubwa inatoa mwangaza sawia na capital city yenu? Na hata huoni aibu kujipiga kifua. Ukiangalia kwenye ufuo wa bahari hindi kuna maeneo mawili ambapo mwangaza unawaka vizuri na iliyo kaskazini ni Mombasa halafu iliyo kusini ni Dar es Salaam.
Haya tutajie miji ya kenya inayoonekana kuwaka taa usiku ikizidi miji mitano natoka JF
 
Let’s break down this photograph, shall we?
View attachment 2138033

First, we need to understand that that the “earth at night” map is an excellent way to show urban sprawl. Nairobi’s sprawl looks bigger because it’s not just Nairobi we’re looking at. It’s the greater Nairobi metropolitan area, which has 20% of Kenya’s population and contributes 60% to the nation’s GDP.
View attachment 2138029

Dar’s sprawl, however, looks like it covers almost the entirety of the Dar es salaam region, the smallest of all in mainland Tanzania. It also extends a bit farther north towards Bagamoyo, west towards Kibaha. The population of that region is roughly 7 million, which is about 12% of Tanzania’s population.


So, the area surrounding Nairobi has a lot more people than the area surrounding Dar. Therefore, why would anyone compare the night maps of Dar and Nairobi? The two cities are certainly not the same. Please end this stupidity. Don’t compare a metropolitan area to a city. That’s just ludicrous!
Let's assume your argument is true,bring your 2nd largest city then compare with Mombasa or kisumu coz the image clearly shows darslam is just slightly brighter than Mombasa.and how comes a large city like dar doesn't have metropolis???
 
Iyo report mpya ya idadi ya $ millionaires mbona tofauti ya ke na tz ni ndogo kiasi kile? 3.3k kwa 2.5k ? Vp majirani mnafilisika kwa speed ya light
si mlisema mko na $ millionaires wengi kutuliko mzee? Alafu tuko only 48 million wakati nyie 60+ million na madini yote hayo!
 
Back
Top Bottom