Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asa research inasaidia nini naakati ukweli unaonekana kwa macho.? Acha kuwa mpumbavu wewe, aliefanya hiyo research hakuwa amefika Tanzania, kwahyo aliropoka tu..
As always. Any report that places Nairobi and Kenya in general above your city/country must be biased report. The same Knight Frank ikisema Dar's real estate value is ahead of Nairobi's hapo wanasema ukweli. Ila hii ripoti yao kuhusu Karen sasa haina ukweli wowote! Mbona mko wapumbavu na wabishi hivi? Must you guys deny everything?
 
We nae uache ujinga utaifananishaje the modern town Fumba vs oldest Karen? Huoni kwamba unachekesha? Macho yako hayaoni au ndo uzalendo umekukaba.
 
As always. Any report that places Nairobi and Kenya in general above your city/country must be biased report. The same Knight Frank ikisema Dar's real estate value is ahead of Nairobi's hapo wanasema ukweli. Ila hii ripoti yao kuhusu Karen sasa haina ukweli wowote! Mbona mko wapumbavu na wabishi hivi? Must you guys deny everything?
Acha upuuzi, shule ulifwata nini.? Mbona kuna mambo mko mbele yetu na tunakubali humu, we all admit that NAIROBI iko na organized estates kubwa nyingi tu, na ni vitu vinavyoonekana kwa macho.. ila ukija kwenye suala la the most organized and beautiful estates lazima Fumba town inashinda mzee in the region. pale nyumba moja ya kawaida ni 500k US dollar .. and one among the most expensive houses in Fumba is this 👇
maxresdefault(92).jpg
..na ni mji wenye kila kitu, barabara za lami, sewage systems, water front Park and them play grounds for kids.. water front Park 👇
fumbauptown_1622502063242114.jpg
hivi pia unahitaji shule kujua Karen is nothing to Fumba town.? more of it 👇.. new houses for middle class 👇
fumbatown_1645549510178455.jpg
.. Alaf unataja Karen kweli.? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom