chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,108
Stand Ilemela Mwanza on final touches, Nairobi haina hata pagale mfano wa stand
Ukiondoa bodaboda na omena Kisumu unabakiwa na 0 sasa hiyo status ya city kawapa nani? 😂😂😂😂😂mlevi lakini alikua kalewa 🤣🤣🤣🤣
Stand Ilemela Mwanza on final touches, Nairobi haina hata pagale mfano wa stand
How Shoddy 😂😂😂😂Hii Ndio stendi sasa sio ile yao wanaiita ultra modern kisa tuu kuweka tv sasa hii yetu tutaitaje futuristic beyond human imagination bus stand 😅😅
wewe ni mjinga sana. kenya na tanganyika ni wapi na wapi..?Kenya ni Private Hospitals pekee ndio kidogo zinaweza kupambana na Public Hospitals za Tanzania
Si nikama vile tunakuambianga ndege si kama gariKuna mtu Munjombe anadai ati Mkataba umesema vifaa vya mkandarasi yaani Yepi Merkezi lazma viwe vipya ina maana aingie gharama ya kununua vichwa vipya kwa ajili ya testing kwa kila mradi! Ikumbukwe kabla ya hapo Yapi merkezi walikuwa Ethiopia, Senegal pia nchi zingine za middle east na Uturuki yenyewe! Jamani vichwa vya treni si magari!


Uliza huo utajiri wote wa kenya unamilikiwa na watu na makampuni mangapi??Mnanua msaada kutoka kwenye majangwa ya waarabu halafu mnajitetea kwenu ni semi arid , yaani majangwa yanaweza zalisha chakula lakini nyinyi matajiri namba 6 Afrika mnashindwa zalisha . Sasa utajiri gani huo au ndio utajiri wa mchongo?
Kwahiyo unataka tununue ndege mitumba kama nyie? we mpumbavu! hiyo ndo 0% yenu ya matumizi ya brain yenyu sio?Si nikama vile tunakuambianga ndege si kama gari![]()
Kumbe ichoboy01 na chongchung hawaifahamu historia ya Kenya. Kisumu ilikuwa city enzi za Moi. Kisumu ilikuwa city mwaka wa 2000.mlevi lakini alikua kalewa 🤣🤣🤣🤣
Geita Gold Mining!GGM ni nani?
Na bado World bank wanakuambia Dar's real estate imeizidi mbali Nairobi real estate kwa thamani.tanzanians in general can't put up estates without government intervention.....while in Kenya thousands of saccos companies and individuals are pulling off such projects effortlessly
The same world bank ranks your GDP at 63 billion and Kenya's at 106 billion.......whats your excuse idiotNa bado World bank wanakuambia Dar's real estate imeizidi mbali Nairobi real estate kwa thamani.