Vioingo ni project inayoendelea ina phases kadhaa, sass ngojeni moto wake manake naona umeshapanicHivi vijumba 6 ndiyo unataka kufananisha na Fumba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chukua hivi vijumba 6 changanya na Karen na bado huwezi fikia Fumba mzee.
Vioingo ni project inayoendelea ina phases kadhaa, sass ngojeni moto wake manake naona umeshapanicHivi vijumba 6 ndiyo unataka kufananisha na Fumba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Chukua hivi vijumba 6 changanya na Karen na bado huwezi fikia Fumba mzee.
Hahaha!!shauri yao na county yao[emoji1787][emoji1787]Tony254, hapa tunazungumzia Kenya, hao ni watumishi wa Kenya, kuhusu muundo wa serikali yenu sisi hautuhusu, kwahiyo wafanyakazi wa county hawana haki ya kupata "salaries?. Kenya is a failed state from all directions, from Central to County levels.
YULE HAELEWI BAADA YA MIAKA MITANO KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA BEI YA BIDHAA KUEANDA JUU NI KUNGURU YA MWISHO
Mnanua msaada kutoka kwenye majangwa ya waarabu halafu mnajitetea kwenu ni semi arid , yaani majangwa yanaweza zalisha chakula lakini nyinyi matajiri namba 6 Afrika mnashindwa zalisha . Sasa utajiri gani huo au ndio utajiri wa mchongo?
Walipenda Kiingereza mkuu,"Chinese first class"🤣🤣🤣 pumbaf Sana.Chinese first class train , wanasiasa wakenya wajanja sana wanatengeneza kitu hata kama low quality wanakipa jina tamu kama ile ulta modern bus stand . Halafu wakunya nao wanajifanya blinded kusifia japokua ukweli unabaki moyoni mwao
Ndo hyo na yeye hata hajui vizuri anaiita LearjetKwani hiyo ndege anayoiongelea bi Karume siyo Gulfstream g550, ambayo Mramba ndiye aliyesema ndege lazima inunuliwe hata tukila nyasi?
Hata kwenye SGR mlikuwa na maneno kama hayo,tulia uone buda,hii sio kunyaland.Give us any evidence that you are planning to have tram services in Tanzania.
Nyiee mtaua wakunya humuMmh chuma za ujerumani zinafanana hivi 👇View attachment 2127918View attachment 2127919my take..
Ile order yetu ya treni kutoka ujerumani sio treni hizo hapo juu kwenye picha kweli.? Na mbona inafanana na hii 👇inayosadikika ni yetu.? View attachment 2127921
INAONEKANA WA TZ HAWATEMBEI NA HAWASOMI KWA UPANAKenya ni Private Hospitals pekee ndio kidogo zinaweza kupambana na Public Hospitals za Tanzania
customer is king....wakati wote mnunuzi ndiye bossi wa muuzaji...elewa hiloTunawalisha,utalii mnatutegemea, biashara,remittances nk..
Kenya kwa Tanzania hamchomoki 😆😆.
Na hapa bisha 👇
View attachment 2127045
Kichwa cha treni ya wakandarasi complete with TRC colours and logo? This drama is getting even more interesting [emoji23] [emoji23]
Nadhani izi tram zikijengwa kwenye miji ya kitalii Ndio itapendeza zaidi kama zanzibar na arushaKwa maneno ya mama,alisema ni Dar na Dodoma
Mpangilio ni mambo yote hapaHuyo mbwa wako can't even come close to Syokimau, stop comparing it with Karen View attachment 2128090View attachment 2128092View attachment 2128094View attachment 2128100View attachment 2128101
over 50% wachache?Watanzania hebu niwaulize kwa heshima na unyenyekevu ni kwa nini huwa mnakataa kukubali kwamba Kenya ina uchumi mkubwa (wa sita Afrika kwa ukubwa wa uchumi) eti kwa sababu kuna Wakenya wachache kaskazini mwa Kenya ambao wanalala njaa? Kwa hivyo kama kuna Wakenya wanaolala njaa hio inamaanisha kwamba Kenya ina uchumi mdogo? Mbona hata Angola ilikuwa inapigana vita in the 1960s and 70s lakini bado ilikuwa na uchumi wa nne kwa ukubwa barani Afrika? Mbona Nigeria ilipigana vita in the 1960s (Biafran war) na wakati huo wa vita bado ilikuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa barani Afrika na watu zaidi ya milioni mbili Nigeria wenye asili ya Igbo walikufa njaa kufuatia ukame mkali uliotokea eneo hilo? Licha ya majanga haya yote, uchumi wa Nigeria bado ulibakia kuwa wa pili barani Afrika kwa ukubwa.
Jamaa mlipost kw mbwembwe na zile ranking zenu za majukwani..Kenya ni Private Hospitals pekee ndio kidogo zinaweza kupambana na Public Hospitals za Tanzania
Uchumi mkubwa una viashiria vyake na njia zake ambavyo Kenya havipo. Sasa hapo ndio tunatilia shaka the figures on paper.Watanzania hebu niwaulize kwa heshima na unyenyekevu ni kwa nini huwa mnakataa kukubali kwamba Kenya ina uchumi mkubwa (wa sita Afrika kwa ukubwa wa uchumi) eti kwa sababu kuna Wakenya wachache kaskazini mwa Kenya ambao wanalala njaa? Kwa hivyo kama kuna Wakenya wanaolala njaa hio inamaanisha kwamba Kenya ina uchumi mdogo? Mbona hata Angola ilikuwa inapigana vita in the 1960s and 70s lakini bado ilikuwa na uchumi wa nne kwa ukubwa barani Afrika? Mbona Nigeria ilipigana vita in the 1960s (Biafran war) na wakati huo wa vita bado ilikuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa barani Afrika na watu zaidi ya milioni mbili Nigeria wenye asili ya Igbo walikufa njaa kufuatia ukame mkali uliotokea eneo hilo? Licha ya majanga haya yote, uchumi wa Nigeria bado ulibakia kuwa wa pili barani Afrika kwa ukubwa.
Haya tueleze mwanauchumi, tuanzie na mapatoUchumi mkubwa una viashiria vyake na njia zake ambavyo Kenya havipo. Sasa hapo ndio tunatilia shaka the figures on paper.